Donald Tracks (feat. The Monk)

Hahaha
Okay
You know
Okay
King king
You know

Cheki nasakanya mboka
Naachiaga wajinga kuzoza
Form lazima kuomoka
Nilikata story na majoker
Karata me ndio joker
Tanga Tanga na talanta
Saka Saka hakuna kuchoka
Hustler mboka ni mboka
Money bags on every track you can call me Donald Tracks
Kila move me na make sure trust me hapa nacheza chess
Planet of the apes
Banging on the chest
Keeping it real fast you probably on the end
Ganji men ku keep it real najua ntawin yo trust

In and out the bamboo forest
Hasidi huyoo
Anainama
Anainuka
Anaona moto
Phfew phfew phfew phfew
Anatoka mbio anatoka
Phfew
Anatoka mbio anatoka
Phfew
Anatoka mbio anatoka
Phfew
Anatoka
Phfew Phfew
Okay
Okay
Anatoka
You Know
King king
You know

Ey
Another verse tunaibring tu hahaha
Hauskii kwa hii mass mi ndio kasisi
Iga uchizi
Acrobat flip ni easy
Kuomoka ka oga ooh kwanza ondoa uoga
Huezi roll ka sisi na wee bado muumini
King king you know who I be
My life yo fantasy
Kasumbue shamba
Achana na kijana wa mjini
Funga virago miracle vipi na hujiamini
Can someone give me a towel please
Kwa hii war usiniulize kabeba uji wa nini
Hero asikuchoche peponi visa ni mimi
Unataka beef na huna meno
Nyumba kumi na chief me sina neno
Kula maleaf kutoka Meru
Kijana nadhif
Master the shifu
Kijana nadhif
Master the

In and out the bamboo forest
Hasidi huyoo
Anainama
Anainuka
Anaona moto
Phfew phfew phfew phfew
Anatoka mbio anatoka
Phfew
Anatoka mbio anatoka
Phfew
Anatoka mbio anatoka
Phfew
Anatoka
Phfew Phfew
Okay
You Know
Anatoka
Okay
King king
You know



Credits
Writer(s): Isaac Srengo
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link