Wangu Wa Milele

Nataka kuishi starehe(kuishi starehe)
Mi na wangu wa milele(oh oh)
Kupiga Sana Sherehe
Umepiga luku safi unanukia cologne
Your dirty talk inanieka in a zone
Uko attractive,uko na goals
Son of a man nabaki nikifall
And mami ati
Unaitingiza naitii
And I dont think
Ushaipewa like this (like this)
I see uko cool in the Nike kicks
High fashion you never miss
African beauty inalook like this
Tell me when you're ready my light is green
I see uko cool in the Nike kicks
High fashion you never miss
African beauty inalook like this
Tell me when you're ready my light is green
Nataka kuishi starehe (kuishi starehe)
Mi na wangu wa milele
Kupiga sana sherehe(piga sherehe)
Tukiwa na wangu wa Milele
Nataka kuishi starehe
Mi na wangu wa milele
Kupiga sana sherehe
Mi na wangu wa Milele
First Introduction
Then upate love with seduction
And I know uko na options
Lakini hii ndio shit utacount on
Baby I've been in love from way back
And cause of love nimetumika
Can I trust you to keep can my heart
That ata tukifight we'll make up
Baby I've been in love from way back
And cause of love nimetumika
Can I trust you to keep can my heart
That ata tukifight we'll make up
Nataka kuishi starehe (kuishi starehe)
Mi na wangu wa milele (na wangu wa milele)
Kupiga sana sherehe (piga sherehe)
Tukiwa na wangu wa Milele
Nataka kuishi starehe
Mi na wangu wa milele
Kupiga sana sherehe
Mi na wangu wa Milele
Mi na wangu wa milele
Mi na wangu wa milele



Credits
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link