I Love You

Ya salam yasalam
Mapenzi yako ya salam ni matamu
Mahaba yako matamu
Hayaishi hamu
Ya salam yasalam

Mapenzi yako ya salam ni matamu
Mahaba yako matamu
Hayaishi hamu

nikimo siwajali wa nafki
ila wafahamu
wanasuu
mema hawatakii
wananizulumuu
nikimo siwajali wa nafki
ila wafahamu
wanasuu
mema hawatakii
wananizulumuu
I love you I love you
My sweety heart

I need you I need you
Forever you

I love you I love you
My sweety heart

I need you I need you
Together boo

Nimezoeshwa kulishwaaaaaaa
Wambea waona gereee
Nalia nanyamazishwaaaa
Napewa mwili nichoree
Nimezoeshwa kulishwaaaaaaa
Wambea waona geereee
Nalia nanyamazishwaaaa
Napewa mwili nichoree
Ukubwaa huu,Nanyonyweshaaa
Mambo ya sasa mburee
Kitandani napandishwaa
napepewa nilaleee
Ukubwaa huu,Nanyonyweshaaa
Mambo ya sasa mburee
Kitandani napandishwaa
napepewa nilaleee
Kileleni nafikishwa
Natolewa makolee

Nguo zoote navishwa
Tena kwa vigelegeleee

Kileleni nafikishwa
Natolewa makolee

Nguo zoote navishwa
Tena kwa vigelegeleee

Aaah wa ghaliii
Mtoto wa ghaliii
Wa ghalii mtoto wa ghalii

Aaah wa ghaliii
Mtoto wa ghaliii
Wa ghalii mtoto wa ghalii

Anavyojua Mapenzi ndipo akanizingua

Tena anavyonienzi nitakacho ninapewa

Anavyojua Mapenzi ndipo akanizingua

Tena anavyonienzi nitakacho ninapewa

Kwani mimi siliwezi
Penzi la kugobaniwaa
Nina mmoja mpenzi
Ndio ana nizuzua

Kwani mimi siliwezi
Penzi la kugobaniwaa

Nina mmoja mpenzi
Ndio anae nizuzua

Anavonifurahishaaaa
Kwa maraha teletelee
Tena anilazimishaaaah
Hunipa kisamvu nileee
Anavonifurahishaaaa
Kwa maraha teletelee
Tena anilazimishaaaah
Hunipa kisamvu nileee
Mboga zakuu nenepeshaa
Na pilau ya uzilee

Raha ana zizidisha
Juice sukari teleee
Mboga zakuu nenepeshaa
Na pilau ya uzilee

Raha ana zizidisha
Juice sukari teleee

Kitafunio sambusaa
Nyama iko vilevile

siwahi kumkurusha
Mtaumbulika buree

Kitafunio sambusaa
Nyama iko vilevile

siwahi kumkurusha
Mtaumbulika buree

Aaah wa ghaliii
Mtoto wa ghaliii
Wa ghalii mtoto wa ghalii

Aaah wa ghaliii
Mtoto wa ghaliii
Wa ghalii mtoto wa ghalii

Anavyojua Mapenzi ndipo akanizingua

Tena anavyonienzi nitakacho ninapewa

Anavyojua Mapenzi ndipo akanizingua

Tena anavyonienzi nitakacho ninapewa

Kwani mimi siliwezi
Penzi la kugobaniwaa
Nina mmoja mpenzi
Ndio ana nizuzua

Kwani mimi siliwezi
Penzi la kugobaniwaa

Nina mmoja mpenzi
Ndio anae nizuzua

Hajawai kubakishaaa
Hunipa vyoote nivilee
Vingine anazidishaaa
Chukuchuku ya tungulee
Hajawai kubakishaaa
Hunipa vyoote nivilee
Vingine anazidishaaa
Chukuchuku ya tungulee
Anavyonii gusagusa
Husimama zangu nywelee

Yeye kwagu hanaa
Hana makosaaa
Hupenda tule tulalee

Anavyonii gusagusa
Husimama zangu nywelee

Yeye kwagu hanaa
Hana makosaaa
Hupenda tule tulalee

Nami namfurahisha
Nyama Bucha lilelile

Wambea nawakomesha
Wembe wetu ule ulee

Nami namfurahisha
Nyama Bucha lilelile

Wambea nawakomesha
Wembe kupita ule ulee

Aaah wa ghaliii
Mtoto wa ghaliii
Wa ghalii mtoto wa ghalii

Aaah wa ghaliii
Mtoto wa ghaliii
Wa ghalii mtoto wa ghalii

Anavyojua Mapenzi ndipo akanizingua

Tena anavyonienzi nitakacho ninapewa

Anavyojua Mapenzi ndipo akanizingua

Tena anavyonienzi nitakacho ninapewa

Kwani mimi siliwezi
Penzi la kugobaniwaa
Nina mmoja mpenzi
Ndio ana nizuzua

Kwani mimi siliwezi
Penzi la kugombaniwaa

Nina mmoja mpenzi
Ndio anae nizuzua

Cheza kidogo mtoto
ahaaa hapo hapo
Tingisha kidogo mtoto
Ahaaa hapo hapo
Hebu ringa Kidogo mtoto
Ahaaa hapo hapo
Cheza kidogo mtoto
Ahaaa hapo hapo
Nikumbatie kidogo mtoto
Ahaaa hapo hapo
waonyeshee body mtoto
Wapo wapo wamejaa teleee
madada uwanii msela
utalala mwenyewe
Wapo wapo wamejaa teleee
madada uwanii msela
utalala mwenyewe



Credits
Writer(s): Baraka Mkande
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link