Wacha Waseme

Hehehe (Yeah)
Apana cheza na the icon budah
Si unajua, aah

Nashughulika na maisha yangu (Hehehe! Ah!)
Nafanya vitu vyangu tu kivyangu (Ah! Ah!)
Skia

Nashughulika na maisha yangu
Vitu zingine wacha waseme
Nafanya vitu vyangu tu kivyangu
Mambo mengine wacha waseme

(Mmh! Ah!)
Wacha waseme
I do my own ting ndio waseme
(Mmh! Ah!)
Wacha waseme (Skia)
Nafanya vitu vya... ndio waseme

Kanairo nilikuja solo
I was broke status so low
Hapa kazi tu hakuna kudoro
Nalipa mambo yangu tinde hakuna kuborrow (Mmh)
Kuna time nimekopa sana
Wakadai... si arudi kwao
Msanii amesota bana
Na wanadai eti mi ni baba yao (Mmh)
Maisha yangu mi ndio dere
Ka kuna noma jiongelee
Mi ni boy nimetoka kondele
Niendelee ama nisiendelee (Ama)

Nashughulika na maisha yangu
Vitu zingine wacha waseme
Nafanya vitu vyangu tu kivyangu
Mambo mengine wacha waseme

Nashughulika na maisha yangu
Vitu zingine wacha waseme
Nafanya vitu vyangu tu kivyangu
Mambo mengine wacha waseme

(Mmh! Ah!)
Wacha waseme
I do my own ting ndio waseme
(Mmh! Ah!)
Wacha waseme
Nafanya vitu vya... ndio waseme

Huna kiti utakuaje chairman
Miyaa ginenee miyaa njaga aburn
Me do deh ting mi make a cop a run
Mi hufanya vitu wanashangaa who made a bang
Hello hello Dj Lexxolex
Kuna ka gig hivi nitokee, ama
Maswara mingi ziniondokee
Mi si kama Ngilu kuna ganji nichotee

Nafanya vitu zangu own way
Icon good Vibes all day
Nikisonga mi nasonga my way
Wacha wabonge na si tusonge (Hehehe)

Nashughulika na maisha yangu
Vitu zingine wacha waseme
Nafanya vitu vyangu tu kivyangu

(Mmh! Ah!)
Wacha waseme
I do my own ting ndio waseme
(Mmh! Ah!)
Wacha waseme
Nafanya vitu vya... ndio waseme



Credits
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link