Sitaki

Shikamoo shika yako tena Asalaloo kweli siulisema
Eti bishow miunitaki tenaa

Tiktok delete moyo wangu Instaah zifute picha zangu Twitter usishare caption zangu
No noo no noo Sitaki
Mapenzi yanaumiza sana
Sitaki
Embu niyache bwana onaa
Sitaki
Mapenzi yanaumiza sana
Sitaki
Embu niyache bwana onaa

Letamajungu nitapikie aujani Weza bado aujani wezaa
Na minataka nilipize yani Nikuumize mwanya yani Nikuumize Acha nimposti baby wangu Mpya anavidimpo na shepu Laku shata usini post usini Posti tenaa

Tiktok delete moyo wangu Instaah zifute picha zangu Twitter usishare caption zangu
No noo no noo Sitaki
Mapenzi yanaumiza sana
Sitaki
Embu niyache bwana onaa
Sitaki
Mapenzi yanaumiza sana
Sitaki
Embu niyache bwana onaa



Credits
Writer(s): Faraji Migesi
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link