Thank You BaBa

Say thank you for Grace
Thank you for kindness
Thank you for love
Thank you for humility
Thank you for peace
Thank you for prosperity
Say thank you for everything

BienBon Musik

Hata uki pata, uki kosa
Ni mapenzi yake
Na utembeyapo uamkapo
Ni kwanguvu zake
Shukuru kwakila jambo (shukuru uh uh)
Tuna ishi kwa neema yake (shukuru uh uh)

Mhm Asante bwana
Kwa upendo wako
Umenibariki, Sitoyasahau
Matendo yako, yani fariji
Thank you oh my Father
Isa new year, isa new day
Happy new year, from me to you
Happy new year from me to your family
Happy new year to everybody
Mhm unibariki ih ih ih
Mungu nibariki mwaku uh
Uwe mwaka wa amani na upendo
Niwe karibu nawe mwaka uh
Nisi poteye kamwe mwaka uh
Asante yesu wangu
Asante bwana
Kwa upendo wako
Umenibariki, Sitoyasahau
Matendo yako, yani fariji

Unapo amka asubuyi iyi ya leo
Ambia Mungu Asante
Unapo enda kazini
Ambia Mungu Asante
Unapo sikia wimbo uh kwa sasa
Ambia Mungu asante
Kwa kila jambo lolote ile maishani mwako
Ambia Mungu Asante
Kwa mahana, pumzi, Afya, vyote
Umepewa na Mungu bure
C'etait L'ouvrier de la 11 eme Heur



Credits
Writer(s): Tresor Shabani
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link