Promise

Ah, njinsi unavyojuwa kunituliza.
Maswali mengi ndo najiuliza
Kiukweli ama miujiza siaminii ohha

Penzi maumivu umepunguza
Shida moto ndio unaniunguza
Siaminii ihiii
Nimefungua macho nanikakuona wewe ehh.
kukuona wewe ehhh unae pendeza
Nanikilio machoo nikipenda ndo unacho wewe ehh.
Ndio unachowewe ehh owangu mweza

Fanya kama unanipa chakula ohhh
Nibembeleze nataka kulala ohhh
Usingizi uje mororo ohh babe
Fanya kama unanipa chakula ohhh
Nibembeleze nataka kulala ohhh
Usingizi uje mororo ohh babe

Mi siwezi kukuacha kabisa
Siwezi kukuacha hataiweje
Siwezi kukuacha ubadilike na wewe
Oh baby Promise
Siwezi kukuacha kabisa
Huwezi kuniacha hataiweje
Huwezikubali ni thalilike ehhiie

Oh baby Promise, Ehh promise ehh
Oh baby Promise, Promise
Asee Promise promise promise
Just like you promised, Promise promise

Kwenye marathi we ndo unanipa tiba
Ohh kwenye njaa najiisi nashiba
Upendo garama, akuratiba ohh nananana

Sitaki mwengine we watakuiba
Oh we ndo umenichomoa mwiba
Hutaki garama akuna ratiba ohhh nananana

Niwewe pekee kwenye raha ya thamani nanina furai
Nina rithika twarizika, unapendeza wangu haii
Niwewe pekee kwenye raha ya thamani nanina furai
Nina rithika twarizika, unapendeza wangu haii

Mi siwezi kukuacha kabisa
Siwezi kukuacha hataiweje
Siwezi kukuacha ubadilike na wewe
Oh baby Promise
Siwezi kukuacha kabisa
Huwezi kuniacha hataiweje
Huwezikubali ni thalilike ehhiie

Oh baby Promise, Ehh promise ehh
Oh baby Promise, Promise asee
Promise promise promise
Just like you promised, Promise promise



Credits
Writer(s): Mb Golden
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link