Witchcraft

Yeah
Erikiih

Sheghan alishika bunde ndo akue safe kwa izi streets
Bro wake aliwekwa chini, mwenye alimseti ni uyo bitch
Witchcraft ndo mi hushuku io blindness ukiona jegi
Mandem Alicross hii life, to better days, with no more pain

Size yake

Apo Monday aliraukaaa
Mandem ako strapped na mabazooka
Kila siku lazima erikiih mskie io doba kwa woofer
Mandem na ma RnB, siku izi machizeeh anapiga drill

Wash man, lyrical gangster
Amekinda waTatu Tunajua so far
These streets ain't gon be safe
With niggas like me, still in this state
Driller hii si drilller, ka hatubongi na bullets, we kaa tu far

Shegan amerun these streets, akiwa thirteen tumfikishe Mia
Watu wale hucross hio path, mi hucheka sana, nawahurumia

Ambition ni Jupiter, ao marappa wengine ceiling
Powerful than Lucifer, hii side hio future ni way too bigi
From today I pour libation, give my thanks to my ancestors
Gave rise to a fucking beast, leteni holy water, Ita Imam

Erikiih

(She's a Witch, we have to slay the witch now)

Na dream ni moja,mabolla lazima kwa izi streets
Hawaangalii hii pande, tukianza kung'ora wanaingia kwa sheets
Jenga doba, miaka ka saba,sai ndo napata mastream
Nina mafuasi, tena ka mia, wanatetemeka kwa io industry

Tushapita io level ya mpasho, sai CNN tuko on repeat
Kwa izi streets nafatwa na kanjo ati machizeeh una Mali legit
Hizi side hatudai commitment, ukimaliza Mali, tunaipimp
Witchcraft, vile unadai paka, you blady faka, end that simp

Ambition ni Jupiter, ao marappa wengine ceiling
Powerful than Lucifer, hii side hio future ni way too bigi
From today I pour libation, give my thanks to my ancestors
Gave rise to a fucking beast, leteni holy water, Ita Imam

Ita Imam na makasisi
Hii ngoma ikichuna inasummon Djinn
Kwa hii side nawageuzia ganji
Hii ni real life nigga hii si meme

Mansion na nishike msomali
Nakosaje ties na Al-Qaeda
Man deadly kama Ebola
Shout out to my ninja Magyar

(Witchcraft)

Haiyaa, kwani hamjui ni nani ameingia
Kwani hamjui ni nani ameingia, (Erikiih, Erikiih)
Kwani hamjui ni nani ameingia
Haiyaa, kwani hamjui ni nani ameingia



Credits
Writer(s): Eric Mac, Marek Lexa, Aliem Jumpp
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link