Kichini Chini

Natafuna chai
Na walaghai
Natafuta uhai
Na inaniwahi
Fines kwa kujidai fine
Na siko hai
Nai
Saa hii
Ndani ya the people nipo
Chanting kiwito nipo
Siogopi kifo nipo
Na ngozi dark times
Na sina light yaani
Sina fight ndani
Lazima flight kite
Na sina sight yaani
Nalishwa ndimu me
Mutu wa mbinu
Nalipwa njugu me
Mtu wa mungu
Napigwa busu
Kumbe nadungwa kisu
Wivu nachomwa jivu
Hadharani ila
Kimoshi kitoki na kiliwashwa zamani
Kikosi kichoki na kilisanywa gizani
Be sure

Chini chini kichini chini
Sisi watu wa chini chini
Kichini chini
Chini chini kichini chini
Sisi watu wa chini chini
Kichini chini
Chini chini kichini chini
Sisi watu wa chini chini
Kichini chini
Chini chini kichini chini
Sisi watu wa chini chini
Chini

Habari njema
Kwetu za kisinema
Vera sepetu wema
Ni kile kinatembeza
Na ni nyumba ndogo
Nani anakula hongo
Who ni nani who
Who ni nani who
Labaloo
Dum di di di dum
Dum di di di dum
Dum di di di dum
Sisi ni kama tumezoea
Kila kipindi kukojolewa
Sisi ni kama tumezoea
Vita fitina kuchomekewa
Sisi ni kama tumezoea
Giza shetani wa kukemewa

Maskini tajiri amefilisika
Amechoka akili akaporomoka
Maskini tajiri amefilisika
Amekosa kimwili akasononeka
Maskini tajiri amefilisika
Ameshuka na ngazi za kusifika

Chini chini kichini chini
Sisi watu wa chini chini
Kichini chini
Chini chini kichini chini
Sisi watu wa chini chini
Kichini chini
Chini chini kichini chini
Sisi watu wa chini chini
Kichini chini
Chini chini kichini chini
Sisi watu wa chini chini
Chini

Na ni nyumba ndogo
Nani anakula hongo
Who ni nani who
Who ni nani who
Na ni nyumba ndogo
Nani anakula hongo
Who ni nani who
Who ni nani who
Di di di dipa



Credits
Writer(s): Eric Ngugi
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link