Karibu Campus

They lied
They lied wakitushow tuwork hard tutakuja campus kurelax, they lied
Na ile time walitushow huku life ni simple, walitudanganya
Karibu campus
Where relationships ni scum tukidate s
Hukuwa silent tunataka tu ku cum
Boy anaweza cheat but dame akicheat anaachwa na shoka si
Huku the women tunaita ladies huuvaa crop tops ku expose kitovu
Walisahau adi ni their parents home wanauza cash crops kuwa facilitate
Na the same ladies wameturn into kuni, ju skuizi shoka inawapasua
Ati once umekula title ya ex unaeza pata axe
Karibu campus
Huku tulikam kusaka shahada but mbogi ikatu introduce kwa shadda
Walls zimejenga heart zetu kwa Christ ziko weak ndo maana tunastone
Hatuko saloon but tukigonjeka
Form ni bangi bora una number ya pedi, cures

Ni poa king alituita wajinga ju huku
Mihadarati ni anthem si huskiza simple boy tukistone
Karibu campus
Si huenda class kuonyesha our new swaggs na lib kutumia wifi
Time ya exams, formation
Na home wanadhani tunapata in-formation
Huku tushamea pembe si hukuwa so horny
I take no logic about tech-no-logy ju, graphic zinatrend ni za porn tu
A humble creature kama monkey aliumbwa na Mungu but huku ananyongwa
Karibu campus
Si huku boy child huulive a fake life ku impress crush
Of which hamtambui humwona kama trash
Ako na five years kwa gambling
But hajawai bet in, bets zake zi hukuwa nje
Ameanalyze games for two weeks though bado haja spot
Pesa ya jackpot amebaki kuwa shabiki
Karibu campus
Where a girl is either dating, single ama ako na sponyo
Deceptions kwa mind huku love ni myth
Watakuchocha wanaenda loo ku pee tu
Ukiwafwata utawakuta wakimeza p2
Huku tulisahau teachings about vanity sahi ni we vaa, nitii
Tunalewa na excuse ni ati Mungu anaangalia moyo si liver
Na ethics tulipoteza, ndio kila weekendi ni kupandana
The same generation inaambiwa iwache mihadarati
Ndo the same generation inalamba na kunyonya
Ati wamlambez wamnyonyez
It's as if tunadrown kwa ocean
Na hatuwezi swim ndio tunatafuta sailors
Tunatreat ladies kama queen B machines
Sio kipenzi cha pekee ni kipenzi cha pekee jeng
Na basi tunawaambia wainame
Huku si ni ma odi tukipigwa x-ray zile mathogothanio ziko kwa akili
Ata exray hawezi amini
Karibu campus
Where boy child huulishwa blueticks Whats App
But bado kwa cats ako na red ticks
Karibu campus
Me ni ule boy huusoma Mathew na ku Mark a few scriptures
Ndo kwa life ziniwezeshe kulook
Things zikienda mbaya me husoma John, ndo nirectify my acts
Ukiwa rome do as the Romans says Baraza
Ju ata kama daro nilipata zero sufuri
Trust me kwa poetry mistari zimenishika yooh
OUT



Credits
Writer(s): Thony Voks
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link