My Love

Nauliza nani anaekufanya we ukose amani
Nataka ujue your de only one
Mi sikubali nikukose asilani
Aah na vile wanipa vitu matata
Utamu kichogoni kitu kashata
Ushanikoleza bila limbwata
Nawaza vile mtoto nikikupakata
Vishakunaku wanapakaza
Wanasiliba siliba tu kukukwaza
Mi nyota njema nisha-angaza
Utamu tu kwa roho roho roho
Mambo mabaya wanapenda
Wanataka kukuona we umekwenda
Na we moyo ndio ushapenda
Sitojali hata kama wakiponda
Mambo mabaya wanapenda
Wanataka kukuona we umekwenda
Na we moyo ndio ushapenda
Sitojali hata kama wakiponda

Your my love love love
Your my number one
Babe girl girl girl
Your the only one
Your my love love love
Your my number one
Babe girl girl girl
Wangu wa ubani

Mtoto kiuno unavyokata
Nafurahi najidai kukupata
Na we enjoy langu bata
Umenifunga minyororo nishadata
Usi-sikize porojo zao, porojo zao, porojo zao
Japo kweli wivu ninao, wivu ninao, wivu ninao
Hata siku moja sijawaza kukukacha
Na nnamuomba Molla wangu we unizalie mapacha heeeh heeh heh
Mambo mabaya wanapenda
Wanataka kukuona we umekwenda
Na we moyo ndio ushapenda
Sitojali hata kama wakiponda
Mambo mabaya wanapenda
Wanataka kukuona we umekwenda
Na we moyo ndio ushapenda
Sitojali hata kama wakiponda

(Hiiiieeeeey)
Your my love (love) love (love) love
Your my number one
Babe girl (girl) girl (girl) girl
(Your my only one girl)
Your the only one
Your my love love love
Your the only one
(Yeah)
(Your my only one girl)
Your my number one
Babe girl girl girl
(Babe babe your my only one girl)
Wangu wa ubani

Wapenda nikuite jina gani
Sweet love ama nikuite Nour-el-ein
(Nour-el-ein)
Waniridhisha si kifani
Wallahi nakupenda kweli si utani
Wapenda nikuite jina gani
Sweet love ama nikuite Nour-el-ein
Waniridhisha si kifani
Wallahi nakupenda kweli si utani



Credits
Writer(s): Shabani Shabani
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link