Tesa

Ey Ey Ey
Yeah
Uh
Leo ni ile siku nimekam kutesa
Payday ilikuwa juzi so niko na pesa
Zikuje zikikam kila mtu anapewa
Na kama huna chupa bana unaeza sema ju
Leo ni ile siku nimekam kutesa
Pay day ilikuwa juzi so niko na pesa
Zikuje zikikam kila mtu anapewa
Na kama huna chupa bana unaeza sema ju

Mi ni beast (ey)
Niko na biro na ninachora list (wapi)
Moja kwa moja, mbili twende kwa three
Hapa kanairo hapana leta beef (aje)
Uh, cheki
Niko na minji (whoo)
Hadi kwa nduthi mazee kuna mapinji
Cheza na rada bana usizame chini (ah ah)
Sinanga time nafanya vitu saizi, uh
Ju maisha ni tamu tunachase na pombe
Hapa hamu na ghamu, hapakule na kote
Poteza fahamu, tena tuende lote
Ni kanono katamu, kako na vitu zote
Wapi kisima tunafaa tuchote
Nikicall mbogi wanakam kaa wote
Naeza fanya mvua ianze kukam
Ndio kila msee ashike doh alafu asisote ju

Leo ni ile siku nimekam kutesa
Payday ilikuwa juzi so niko na pesa
Zikuje zikikam kila mtu anapewa
Na kama huna chupa bana unaeza sema ju
Leo ni ile siku nimekam kutesa
Pay day ilikuwa juzi so niko na pesa
Zikuje zikikam kila mtu anapewa
Na kama huna chupa bana unaeza sema ju

We ni peng ting, legeza haga
Nataka senti, pesa ni raha
Cheki mafala, wameparara
Wanatesa na pesa ni ya Tala (whoo)
Ka nikukam, wakam, wakuje faster (wakuje faster)
Tuanze slow ndio isiishe ladha (yeah)
Ati salam madam, joh uko handsome
Kako karibu kuzima kapewe fanta
I got funds so tonight is on me
Life is bitch and this bitch is for free
Hate me or love me agree disagree
Money for my time so I'm charging a fee
See you when you see me, it's like that
I don't love you but you feel me, it's just facts
We jichoche that you need me, from way back
Hii life ni ka movie na movie ndio inaanza

Leo ni ile siku nimekam kutesa
Pay day ilikuwa juzi so niko na pesa
Zikuje zikikam kila mtu anapewa
Na kama huna chupa bana unaeza sema ju
Leo ni ile siku nimekam kutesa
Pay day ilikuwa juzi so niko na pesa
Zikuje zikikam kila mtu anapewa
Na kama huna chupa bana unaeza sema ju



Credits
Writer(s): David Lila, Herbert Edukon
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link