Stamina

Vibe ikiwa moto naongeza stamina
Madutu na mangoko wanabeba mabidhaa
Cheki inua mikono piga sala amina
Katika ju ni ka zinakam zikikam

Cheki stamina stamina tumekam
Hii ni stamina stamina tumejam
Stamina stamina tunamaliza maliza
Huna stamina stamina amejam

Pipi naskia gari ndo hukufanya hornh
Ndani ya club me wakwanza buh ninatoka morning
We si, we si homie kupa deni me sioni
Mayiela nao wengi piki pikipong aah
itakucost na ka huna ganji nakughost
Ngoma ka si yangu mbona sa nido the most
Club higher than the most depo first ndo nipost
Ngori ushalost ona sasa imekucost
Huna

Cheki stamina stamina tumekam
Hii ni stamina stamina tumejam
Stamina stamina tunamaliza maliza
Huna stamina stamina amejam (×2)

Katapilla
It doesn't matter if you don't like me
Man im a hustler ill proy get the doo lightly
Meteorite im stunning niggaz how i shine brightly
Wanataka kuona tuko chini but its unlikely
Hapa hapo vile track inachuna
Hii ni ka kichapo kwa sakafu
Kata nikifika every girl a bubble
Flow ni fresh nafunga kesi
Hii ni double trouble
Nina jeshi clip inatoka haraka upesi
Nina

Cheki stamina stamina tumekam
Hii ni stamina stamina tumejam
Stamina stamina tunamaliza maliza
Huna stamina stamina amejam (×2)

Ati Ulala kaupenda punanana
Ni kamsupa na na na naireverse
Chuma ni dondi haitaki magloves
Namkuta gizan ni majab
Alidai she so girl able
Ye huskiza burna boy
Kumbe ni tutututu
Goshodo panadol
Ye hupenda matoy
Ma tiki taka jo
Tunamtiki kiki silly mimi fala boy

Vibe ikiwa moto naongeza stamina
Madutu na mangoko wamebeba mabidhaa
Cheki inua mikono piga sala amina
Katika ju ni ka zinakam zikam

Cheki stamina stamina tumekam
Hii ni stamina stamina tumejam
Stamina stamina tunamaliza maliza
Huna stamina stamina amejam



Credits
Writer(s): Mike Makori
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link