Memories

Sikua vile niko before
Nimevuka boarder
Najua nilipotoka, we ulinitoka
Me no really want to know
Ukitoboka
Nikona yangu choppa
Utaniogopa
Mmmh

Me nina shine wasema nachoma picha
Me niko fine atakama hutanisha
Pete ni yangu tashindana vita
Yalopita basi tamatisha
Mmh Memories

Let me break it down for you
Hata wazuri watakubully
Nobody respect you fully
Kuliko we mwenyewe
Kupigwa bao lazima utachezwa
Mabeshte ndo watakuchenga
Sijisahau juu wengi wataenda
Bad energy back to sender
Kile inamatter ni now

Kama imepita ni yao
Watabaki wakiuliza ni how
Kile inamatter ni now
Kama imepita ni yao
Watabaki wakiuliza ni how
Pete ni yangu tashindana vita
Yalopita basi tamatisha
Mmh Memories



Credits
Writer(s): Nancy Njeri Tesla Murimi
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link