Upendo

Ohooo
Ni j wasainomz
Beckson
Upendo upendo
Upendo upendo
Upeee

Upendo upendo
Upendo upendo
Upeee
Kuna mengi tulioyapitiya haaa
Mimi nawee
Kunamwngi tulioyapitiyaga
Mimi na wee mh
Lakini yote mwishoni bebe
Yaligeuka kuwa soooh
Lakini yote mwishoni baby
Yaligeuka kuwa sooh
Kuna mengi tulioyapitiya haaa
Mimi nawee
Kunamwngi tulioyapitiyaga
Mimi na wee baibe
Upendo upendo
Upendo upendo
Upeee

Upendo upendo
Upendo upendo
Upeee
Yeah beckson
Tambua na ujue
Kisichoriziki akiliki
Ni wengi walikupenda
Lakini uliwakana
Jana na jana
Wale sio vijana chakwanza
Wanakunywa kwanza tena si wajanja
Kazi yao kupiga njanja
Laiti ungejua moyo wangu
Ulivyo teseka
Mawazo kuongezeka
Machozi kunitoka
Ni kweli niliumia
Sikuvumilia
Wale vibamia
Walisha kuniangalia
Moyo wangu ulichoka
Nika kuwa kamanda
Moyo wangu ulichoka
Nika kuwa kamanda
Eh nikakuwa kamanda baah

Eeeh kunamengi tulioyapitia haaa
Mimi na wee
Kuna mengi tulioyapitiaga
Mimi nawe baibe
Upendo upendo
Upendo upendo upeee

Upendo upendo
Upendo upendo upeee

Khekhee
J wasainomz
Reblax boy ogn boy
Eeh becksaino
Tiddy boy
Raty boy
Lion



Credits
Writer(s): Official Liontz
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link