Reverse (feat. Skinny Gean)

(Skinny Gean)
(Kwa block naserve mafiends)

111

Si you know the Drill
Si you know the F-ing
Si you the Drill
Drill ya 33!
Ayy
Light Yo Spliff!
Ayy

Wha'gwan Wha'gwan
Sijai reform me huzibomb ka Al-Shabaab
Daily jo nko on
Wallahi ntazingafu hadi kaa ni Ngat
Mandem ako taki
Juu ya vile anashinda akiReverse
Hapa anaku paybill
Young G enda ukakam na cash!
Wha'gwan Wha'gwan
Sijai reform me huzibomb ka Al-Shabaab
Daily jo nko on
Wallahi ntazingafu hadi kaa ni Ngat
Mandem ako taki
Juu ya vile anashinda akiReverse
Hapa anaku paybill
Young G enda ukakam na cash!

Nacheza na mic
Kaa pastor, Beat naikill
Inageuka murder
Flow ni kali design ya Santan
No Kizzy nikirap jo
Me si capper
Nacheza na keys
Kitrapper, vile maadicts wananisaka
Nacheza na keys (For Real)
Kitrapper, vile maadicts wananisaka
Kila day si si tunagrind
Kila day tunasaka madime
Nasaka cash nadai mastacks
So utanpata nikitrap at night
Daily mabeats ndo Me hufight (For real)
My heart as cold as ice
Big dawg siogopi kubite
Barz too hard naspit kwa mic

Wha'gwan Wha'gwan
Sijai reform me huzibomb ka Al-Shabaab
Daily jo nko on
Wallahi ntazingafu hadi kaa ni Ngat
Mandem ako taki
Juu ya vile anashinda akiReverse
Hapa anaku paybill
Young G enda ukakam na cash!
Wha'gwan Wha'gwan
Sijai reform me huzibomb ka Al-Shabaab
Daily jo nko on
Wallahi ntazingafu hadi kaa ni Ngat
Mandem ako taki
Juu ya vile anashinda akiReverse
Hapa anaku paybill
Young G enda ukakam na cash!

Nilishow pussy nigga "Sikindi mali on loan
Kacome na cash!"
Mwere anajua hawezi ngora kulipa hizi endz
Si hukuwa magwaash
Nilimkula soki juu ya kung'ora na ganji
Huyo fala akageuka flash
Mafiends wanadai usifuck na Skinny
Huyo boi anakuanga mharsh
Me ndo huletea wazing mali fity
Anytime kukiwa na bash
Peng yako anapenda kurudi hii yard
Juu ya vile me namsmash
Nigga amekula moto
Peng wake humcheki anablush
Umesota unadai ten ten hoe
Na huwezi mbuyia ma-lash
Umesota usiniitishe advice
Juu me ntakushow kakinde mastash
Siku hizi me huseti maforeign
Hio mali yako tupa kwa trash
Eeh, siku hizi naringa
Huwezi nipata nikivuta shash
Me ndo the shit hii zabe
Hao mapaka hawawezi niflush

Wha'gwan Wha'gwan
Sijai reform me huzibomb ka Al-Shabaab
Daily jo nko on
Wallahi ntazingafu hadi kaa ni Ngat
Mandem ako taki
Juu ya vile anashinda akiReverse
Hapa anaku paybill
Young G enda ukakam na cash!
Wha'gwan Wha'gwan
Sijai reform me huzibomb ka Al-Shabaab
Daily jo nko on
Wallahi ntazingafu hadi kaa ni Ngat
Mandem ako taki
Juu ya vile anashinda akiReverse
Hapa anaku paybill
Young G enda ukakam na cash!

Supply on road kaa hawkers
12 wakimuok anaku mzimbiting
Adi mmoja
Niko always on kaa jua
Na kaa weh ni mtrue, si unajua
Nimetoka riko
Katululu imejaza missed calls
Msitiri anadai aty
Vile manz nimemueka detox
Bad B anadai namake hits
Tukipata anadai kunikiss
Manz me nalive to the fullest
Nikitokea streets me hutie my shoelace
Anaku kunidandia
Speedometer inachezea mia
Niko hood napush magoods
Anything for this cash I'll do
Si hutake our time kwa stu
Hit after hit si unajua tu
Niko hood napush magoods
Anything for this cash I'll do
Si hutake our time kwa stu
Hit after hit si unajua tu

Wha'gwan Wha'gwan
Sijai reform me huzibomb ka Al-Shabaab
Daily jo nko on
Wallahi ntazingafu hadi kaa ni Ngat
Mandem ako taki
Juu ya vile anashinda akiReverse
Hapa anaku paybill
Young G enda ukakam na cash!
Wha'gwan Wha'gwan
Sijai reform me huzibomb ka Al-Shabaab
Daily jo nko on
Wallahi ntazingafu hadi kaa ni Ngat
Mandem ako taki
Juu ya vile anashinda akiReverse
Hapa anaku paybill
Young G enda ukakam na cash!



Credits
Writer(s): Beckham Njuguna
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link