Viva La Vida

(La la la la la la)
(Viva la Vida la Vida la Vida ma)
Sudah
(La la la la la la la)
(Ma ma ma ma ma ma)

No disturbance
Leo ni lazima nile nyama
Kisha nimalizie na shada
Nimeshajinyimanga sana

Mi usave sana
For Suzanna
You know forever I got my mama
Sitaki madeni ama drama
Natuma za mamaa na pesa za chama
(No no no no)

Akianani maisha ya city
Tunaishingi 50-50
Utakaribishwa na mwizi
Ama wajanja na mafisi
Wasichana wapretty pretty
Wananiita mwenye kiti

Wanaonanga niko fiti
Hauezi nieka chini
Viva la Vida la Vida la Vida
Ahumdulilah nimeivaa
Nimepiga looku nimeshiba
Dua langu leo limefika

Amina Amina
Ahumdulilah nimeivaa
Nimekula fiti nimeshiba
Dua langu leo limefika
Ahhhhh Amina Amina
Ahhhhh Amina Amina

Kamshande kako set
Nimeshalipana rent
Leo nimeshinda bet
Sasa wapi weekendi
Ka msupa kako wet
Kanataka nikapet
Nikavalishe pete

Kisha apewe machete
Vaa nikua ngwete
Nikua ngwete
Unawasha moto sasa wacha nipepete
Nibebeshe niichezeshe
Maisha raha washa kitu ituchekeshe

Akianani maisha ya city
Tunaishingi 50-50
Utakaribishwa na mwizi
Ama wajanja na mafisi
Wakubwa wa maofisi
Wananiita mwenye kiti

Wanaonanga niko fiti
Huwezi nieka chini
Viva la Vida la Vida la Vida
Ahumdulilah nimeivaa
Nimekula fiti nimeshiba
Dua langu leo limefika

Amina Amina
Ahumdulilah nimeivaa
Nimepiga looku nimeshiba
Dua langu leo limefika

Ahhhhh Amina Amina
Ahhhhh Amina Amina
Ahhhhh Amina Amina
Ahhhhh Amina Amina
(Amina)



Credits
Writer(s): Benson Mutua Muia
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link