FILTER

Aah
Chekii, mnatyofficial
Na borinidee
Skiza hii mzee
Dem peng features cheki anagliter
Kwa tenje nilichanganyika snapkwanza twita
Picha mafilter
Keep calm leo niko cash ntafika
Dem peng features cheki anagliter
Kwa tenje nilichanganyika
Snap kwanza Twita
Picha mafilter
Keep calm leo niko cash ntafika

Leo nimechachisha, kunywa itisha
Na uitishe yeyote ntalipa
Huna fom kam na madem wasita
Muchura sidai kwanza iyo fom sa sikai
Ati ananidai, nani alimwambia nadai
Tangu niishi nai, buda bora uhai
Madenge wote wanakam design wanakuchai
Sa ni mi ntawai dem amenipenda why
Alinifanya zigi zaga zigi zaga
Bumper zimejifit fit aah, cheki haga
Stopper amejibeba nyuma joh imegatha
Bigi diaba
Bigi waba, gimmi grabba
Ni first time iimebidi nimechukua namba
One time call, denge alinibamba
Late night nikicheki mboto kwa namba
Amefilter ni mwhite design ya pamba

Dem peng features cheki anaglitter
Kwa tenje nilichanganyika
Snap kwanza Twita
Picha mafilter
Keep calm leo niko cash ntafika
Dem peng features cheki anaglitter
Kwa tenje nilichanganyika
Snap kwanza Twita
Picha mafilter
Keep calm leo niko cash ntafika

Dem joh ni peng anifanya mi natweng
Borini nampea 10 over10
Mistari zangu safi nimeandika bila pen
Ni Borini na Mnaty yet again
What a gwan buda
Tunaroga juu ya manzi
Manzi ameturoga
Manzi flani buda alikua wa kibabi
Na wazazi watiaji
Ilibidi niruke hapo nimseti nipewe ganji
Tuzidishi na machaji
Msichana nayo tire nimemseti
Na haijaikua kesi
Na kaa ni tei tumekunywa tukableki
Aki walai, ooh my
What a Myy
Alinicheza na wewe is it a lie
Madem wa Nai nakusho Sitawaii
Sitawahi
Dem peng features cheki anaglitter
Kwa tenje nilichanganyika
Snap kwanza Twita
Picha mafilter
Keep calm leo niko cash ntafika
Dem peng features cheki anaglitter
Kwa tenje nilichanganyika
Snap kwanza Twita
Picha mafilter
Keep calm leo niko cash ntafika



Credits
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link