Piga 10 (Remix)

Alex vibe
Yeeh yea
Waah (waah waah)
Asum (Asum Asum Asum)
Vin music, thee music
Only one Delo, hallo
(Africa)

Utanipiga tens
Mi' nalipisha zangu na ma thao
Ukiplay hii tao utabambwa na karao (wah wah)
For now, wee cheza chini chini wadharau
Usiwai doze ten ama tena uhatee tens ten
Mi' nalipisha zangu na ma thao (yea)
Ukiplay hii tao utabambwa na karao (yea yea)
For now, wee cheza chini chini wadharau (yea)
Usiwai doze ten ama tena uhatee tens (ten)

Wakisha sssssh ssh nikiona karao naizima
Nimetoka fom kwa tumbo ni mzinga
Zangu 'uezi fom, mtu wangu utazima
Ten kwa tens si huipiga mzima
Ukiulizwa kunihusu waambie 'ujanizoea
Sai' niko mboka baada nitatokea

What a man can do he can still do it better
Kama Diamond am a go getter
Irriz waririz kama ume catch tease
Nikipewa kitu kaa ni grease
From back in the days
Back in the days everybody hated Chris

Aki do this ku reach me na do this kumiss
Kwa ma enzi za ka T, I could do this for weeks
Nikijibeat napona nikiji seek nanona
Ndio na repeat kusema naifeel, si uoga

Utanipiga tens
Mi' nalipisha zangu na ma thao
Ukiplay hii tao utabambwa na karao (wah wah)
For now, wee cheza chini chini wadharau
Usiwai doze ten ama tena u hatee tens ten
Mi' nalipisha zangu na ma thao (yea)
Ukiplay hii tao utabambwa na karao (yea yea)
For now, wee cheza chini chini wadharau (yea)
Usiwai doze ten ama tena uhatee tense

Kamilisha, kiswahili sanifu nashikisha
Ten thousands hours mi nishaa kamilisha
Spits zinashika, sijai lazimisha
Kugotea msee me haijaikua shida
Akibonga tu shida siskii juu ni mia
Zangu na zako zisi mix na fitina

Alitry kunipima but open ni nia
Alidunda sana kwa matope alichimba
Akidinda kufanya mi hufanya
Morefire usiwai tegemea tu msee, kaa mbaya
Izi ngoma hubamba from since back sana
Sidaingi pang'ang'a za wasee wako mbaya

Aki do this ku reach me na do this kumiss
Maenzi za ka T, I could do this for weeks
Nikijibeat napona nikiji seek nanona
Ndio na repeat kusema naifeel, si uoga

Utanipiga tens
Mi' nalipisha zangu na ma thao
Ukiplay hii tao utabambwa na karao (wah wah)
For now, wee cheza chini chini wadharau
Usiwai doze ten ama tena uhatee tens ten
Mi' nalipisha zangu na ma thao (yea)
Ukiplay hii tao utabambwa na karao (yea yea)
For now, wee cheza chini chini wadharau (yea)
Usiwai doze ten ama tena uhatee tens (tens tens tens)



Credits
Writer(s): Alex Kimani, Malcolm Mutiso, Alex Vice
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link