Cha

Haloo halo halo
Njoo me na we tufanye malengo njoo me na njoo me na njoo
Uswazi no chuki kila angle (uswazi no uswazi no) no
Kisa nafata viloba aaa nasema
Hata nkipata nkikosa aa kulima
Cheki nafsi inavyobaa cheki nafsi inavyooo
Happyness nnafuraha happyness mpa popo
Hainaga faida kila nisitapo olima chaaa
Hata ka sina sina nkipatachoo olima chaa
Basi nakula kimahustle chanitosha me na watoto
Ati sasa minato pahali nakaa me nakaa popo

Alima chaa alima aacho
Alima chaa alima chachocho
Alima chaa alima chachocho
Alima chaa alima chachocho

Babe your my golden goal tell yah me na apa aa i fall in love
Don't change me over doo babe noo (ooh babe)
Nteseke nidate for love
Cheki nafsi inavyobaa cheki nafsi inavyooo
Happyness nnafuraha happyness mpa popo
Hainaga faida kila nisitapo olima chaaa
Hata ka sina sina nkipatachoo olima chaa
Basi nakula kimahustle chanitosha me na watoto
Ati sasa minato pahali nakaa me nakaa popo

Alima chaa alima aacho
Alima chaa alima chachocho
Alima chaa alima chachocho
Alima chaa alima chachocho

Credits
Writer(s): Remmy Dismas
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link