Twende

Mmh lava love lie, mmh lava love lie
Mmh lava love lie, woh, woh, woh
Mmh woh, woh, woh

Twende nikakutambulishe nyumbani yeh
Twende tukawaone dady na mami yeh
Twende nikutambulishe nyumbani kwani
Nimekuchagua wewe hakuna mwengine asilani
Yeah, aai yai yah

After Dodoma niliamua sitawaipenda
Hawa mabinti wengi nao, walinitenda
Then nikaamua ni yeye yule wa kiwewe
Tamaa nayo mingi akaamua anicheze
Ungejua navyo kuchukia

Naskia bibilia husemaa yule alikutendaa
Nafasi msamehe kama unampenda
Na nikienda zangu, we jua natenda wema
Nimpe mda kwa jiko nione kama ntakuadema
We ni mkali, mkali, mkali, mkali

Na nilichoka sana na ubachelor
Mara nakula kwa hoteli kanjo ametokea
Supu ya nyama transparent maji imeongezewa
Nguo zangu chafu mgongo umebebmbea
Kuja nami nimeamua tutaelekea
Mom na dad wanatungoja, kwako najitetea

Twende nikakutambulishe nyumbani yeh
Twende tukawaone dady na mami yeh
Twende nikakutambulishe nyumbani kwani
Nimekuchagua wewe hakuna mwengine asilani
Ok, aai yah yah

Si umekua haupendi vile nakuficha ka siri
Twende way way Western niku intro kama bibi
Ndwele, yaliyopita si unajua
Nywele, na like body shape na nyuma
We ni mzuri hauna kifani

Na ukipika unamake hilton ikae ka kibanda
Supu thick, sijui ka ulitumia nyanya
Uta addition bado sofa hufunikwa na kitamba
Home to soko, mtaani hapendi kuranda
Aki ni wewe kweli?

Past one year, mother amekua on my case
Anajua the Ombimas hao huanga na taste
We si dem hivi hivi, hivi hivi
So beba bagi bibi, tukutane jiji
Natamani mtoi aseme daddy, gigigigi
Twende twende mami jibu inabidi

Twende nikakutambulishe nyumbani yeh
Twende tukawaone dady na mami yeh
Twende nikutambulishe nyumbani kwani
Nimekuchagua wewe hakuna mwengine asilani
Aii yah yah

Nimeamua kabisa (kabisa) aah ni mimi na wewe
(Mimi na wewe)
Kama ugali na chumvi (aah) ntakula na wewe
We ndio wangu lazizi (lazizi) usinishushe thamani
We ndio wangu lazizi jamani mani yeh yeah

Wazazi wameeka tick, we jua ni kwisha mi frame
We converse tumekamilisha picha nimekamilika
Asilmia zaidi ya mia unasitasita ka unapenda
Wacha ficha ficha
Twende, tuimake it official kama miss mimi nikuapishe

Eei eei ieei eei twende
Twende nikakutambulishe nyumbani yeh
Twende tukawaone dady na mami yeh
Twende nikutambulishe nyumbani kwani
Nimekuchagua wewe hakuna mwengine asilani
Aii yah yah

Twende nikakutambulishe nyumbani yeh
Twende tukawaone dady na mami yeh
Twende nikutambulishe nyumbani kwani
Nimekuchagua wewe hakuna mwengine asilani
Aii yah yah

Twende twende, twende twende
Twende twende, twende twende
Twende twende, twende twende



Credits
Writer(s): Kennedy Ombima
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link