Mama

Omama Nawaza Bila wewe ningekua wapi oomama
Oo mama Dunia Bila wewe tugekua wapi oomama

Mama nakupenda kwangu unaupendo wa pekee
Namuomba mwenyezi akuweke Leo kesho
Jikoni unapika ukiwa kazini uhakika
Mama mchapa kazi inafahamika
Mtoto wakike atazamweeee
Sina chaku kulipa Kwa mengi umefanya
Tangu mtoto mpaka Leo nimekua
Wanawake na fashion
Kushona vitengee ooh waandishi wa habari
Walimu mashuleni mawaziri marubani
Mpaka sokoni kuuza nyanya
Umejaliwa moyo mama Duniani hakuna ee

Mtetezi niwee aweee oyoooo Weee oyooo
Milele nawe aaaah weee oyooo weee oyooo

Omama Nawaza Bila wewe ningekua wapi oomama
Oo mama Dunia Bila wewe tugekua wapi oomama
Omama Nawaza Bila wewe ningekua wapi oomama
Oo mama Dunia Bila wewe tugekua wapi oomama
Ooo mama

Jitihada zaku changia wengine wasiojiweza wapete heshima
Vitendea kazi na mapocho pocho

Sauti zetu zinafika mchosema uhakika mwanamke
Kila sekta unamkuta anawajibika
Samia anawakilisha mama wachapa kazi wa Africa
Tena msichoke kabisa muda umefika
Mnafanya vizuri vizuri
Mapambano na juhudi kwenye haya maisha
Aa pongezi nyingi kwenu wakina mama
Navikundi vyenu vyakunyanyuana
Hamuwezi kukubali Mmoja akizama
Mnaupendo sana

Ooh mama you truly deep in love from your heart ooo mama
Ooh mama you truly deep in love from your heart ooo mama

Omama Nawaza Bila wewe ningekua wapi oomama
Oo mama Dunia Bila wewe tugekua wapi oomama
Omama Nawaza Bila wewe ningekua wapi oomama
Oo mama Dunia Bila wewe tugekua wapi oomama
Ooo mama

Credits
Writer(s): Mr Kesho, Thomas Maxmillion
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link