Bigman

(Dream big)

Hey big man (eeeeh)
Hauna vitu vingi man? (eeeeh)
Na una move kama king man? (eeeeh)
Na unang'ara bila bling
Jina lina ring
Big man tings

Hey big man (eeeeh)
Hauna vitu vingi man? (eeeeh)
Na una move kama king man? (eeeeh)
Na unang'ara bila bling
Jina lina ring
Big man tings

Kabla ya TikTok, mie nina hit song nyingi
Kama Kris Kross, ninaenda kama big boss Fiddy
Huwa sijichoshi, wala siforce kingi
Sina mikosi, mie ni king kong kama Chidy (Benz)
Mtoto wa mjini kama disco
Ninajiamaini mimi kabla ya mshiko
Na hii style ni kama kipofu mwenye pistol
Ni hatari akiikoki ujue ni kifo
Wenye vijicho hawa kazi
Hivyo maficho yako wazi

Hapa nilipo mtu kazi hawafikii
Watoto walito wanyamaze
Niko na people ile shazi
Hadi tip top mie mzazi kama Madee
Wewe sio mshamba?
You wanna chill with the big boys huuh
Tafuta kwanza mkwanja, ili usiwaze kuhusu bill unapojienjoy
Sina chuki ninaomba penye wazushi nisiwemo
Nikikutusi, ujue nimeishiwa tu maneno
Usiwe stupid, kumbuka hata sheria ni msumeno

Ninawapa toothpicks watoto watoe maziwa kwenye meno
Inawaconfuse kama lesbie mwenye upofu kwenye soko la sushi
Huu ni moto hawagusi
Kwa huu mchomoko hawanikuti
Hey shorty, sigombanii mpira kama sina uhakika wa kupata goli

Hey big man (eeeeh)
Hauna vitu vingi man? (eeeeh)
Na una move kama king man? (eeeeh)
Na unang'ara bila bling
Jina lina ring
Big man tings

Hey big man (eeeeh)
Hauna vitu vingi man? (eeeeh)
Na una move kama king man? (eeeeh)
Na unang'ara bila bling
Jina lina ring
Big man tings

Maisha kula msoto njaa kali sikushibana
Ili kuishi ndoto zangu huwa silali mie hupigana
Na ninavyoviota kuna mahustla wanavifanya
Wanapata nilivyokosa nikaona kumbe inawezekana
Sasa sasa kama tik tik boom ninalipuka
Na sijali kama upo sitting room au ndani ya shuka
Mie ni zaidi ya clique ya wagumu kwa huu mzuka
Pisi unataka sisi tudumu?
Nitoe kwa chupa
Kiubishibishi kuishi haikatai au wewe umesanda?

Maichi ichi ichi dumbayi anga banga
Tanga tanga, kama mbwai mbwai
Lambalamba chaichai
Danga danga bye bye dada
Mie ni big timer sichuji kama Mannie Fresh
Siwakomelei kama Dayna hawa groupies hawanigusi nyeti
Mke wangu anayajua mahesabu haitafuti thamani ya eksi
Mungu wangu amejawa maajabu, hanitupi, hunifanyia wepesi

Hey big man (eeeeh)
Hauna vitu vingi man? (eeeeh)
Na una move kama king man? (eeeeh)
Na unang'ara bila bling
Jina lina ring
Big man tings

Hey big man (eeeeh)
Hauna vitu vingi man? (eeeeh)
Na una move kama king man? (eeeeh)
Na unang'ara bila bling
Jina lina ring
Big man tings

Seh if you wanna fi stay number one fi long time
Ya afi do big man tings
Ah we a run di ground
Booom



Credits
Writer(s): Fareed Kubanda
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link