Najihisi mfalme (feat. P mawenge)

Bila penzi lako
Nahisi ningalipoteaga zamani
tangu niwe wako
Ni mengi umeniteteapo
Ndio nikajua thamani yako baby
Najihisi kama mfalme
Unavyo ni handle
Najihisi kama napaa (paa.)
Na ninahisi sistahili huo upendo
Unaonipa ma (maa.)
Baby baby baby nguganile fijo
Ooh oouwah

Kama ajali mbele ya safari
Mimi kwako naona fahari
Kama ajali mbele ya safari
Mimi kwako naona afadhali

Ona Sina hata Mali
Sina hata gari
Ila uko radhi unibebe
Twende hata mbali
hauchoki na Mimi
You know am Crazy for you
Kwa yote niliyokufanyia
Mabaya ya dunia
Bado unanikumbatia
Na kunikiss kiss shavuni
Najihisi kama mfalme
Unavyo ni handle
Najihisi kama napaa (paa...)
Na ninahisi sistahili huo upendo
Unaonipa ma (maa...)

Kama ajali mbele ya safari
Mimi kwako naona fahari
Kama ajali mbele ya safari
Mimi kwako naona afadhali

Japo najua si Mimi niliyekutoa bikra
Tangu mwanzo mpaka hapa tulipo fika
Nilishakukera vingi na ukakasirika
Na hukujali Bado msamaha ukanipa
Mbele yako me nahapa kwa uhakika
Mimi kwako sitoki nimeshafika
Nikiwa nawe najihisi nimeridhika
Najiona kama nimeshushiwa malaika
Nipende baby nishike nisipotee
Na uniambie wapi haujaridhika nikuongezee
Kama pamba baby nitakuvisha utokelezee
Nikina nani wanabisha tuwaoneshe aah
Mpaka nikajitusu kushika biki
Ili nioneshe wazi baby umenishika vipi
Kweli nitadumu nawe na siji kukusaliti
Natani dunia nzima wotoke tubaki sisi

Na nahisi sistahili huo upendo
Unaonipa maa (maa.) eeh

Kama ajali mbele ya safari
Mimi kwako naona fahari
Kama ajali mbele ya safari
Mimi kwako naona afadhali

Na nahisi sistahili huo upendo
Ooh
Unaonipa maa (maa...) eeh

(Maa...)



Credits
Writer(s): Gabriel Ndunguru
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link