Sweet

Nakupenda siku zangu za uhai wote
Ntakucare upate kitu japo sio vyote
This time mimi niko tayari tununue sayari tukaishi wawili
Yani we subiri ikauke bahari nikuoneshe fahari

Sinilisema sitofall mmmh falling in love
Nimejikuta nimefall again mmh falling in love

Nakupenda siku zangu za uhai wote
Ntakucare upate kitu japo sio vyote
Ntakupenda siku zangu za uhai wote

Ntakucare upate japo sio vyote
This love sweet sweet sweet tamu kama sugar
Sweet sweet sweet tamu kama pipi
Sweet sweet sweet tamu Kama asali
Sweet sweet sweet



Credits
Writer(s): Salmin Ismaili Hoza
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link