Paradise (feat. Zaiid)

Mmh, hey! hey!
Ooh! ooh!
Jioni ilishafika baby aah!
Jua limeshazima Sasa, ili Upendo wetu utumulikie eeh
Tumesubiri Sana baby ooh!
Wakati wetu umefika, na mapenzi yetu ya barakiwe (eeh)
Sogea karibu na moyo wangu usike
Sauti ya upendo ooh

Paradise paradise
I wanna take you to paradise
Vile tuna shine tuna shine
All the way
Paradise paradise
I wanna take you to paradise
Vile tuna shine tuna shine
Ooh

Me Nina amani, hata ukiniona usoni
Furaha gani hata kwa mwingine sioni
Nimejawa na furaha, siku nyingi nimeshasahau karaha
Kutwa kushinda na njaa, kutwa kukuwaza we mamaa

Ukianiacha nita paralyze, baby twende wote paradise
Fungua mlango me drive,
kwenye gari la mapenzi lisianguke me ni faidi
Mtoto umeumbika, aah
Unapenda bakora vile natandika aah!
Umeridhika aah!
Unanishika aah!
Me ndio huduma ya kwanza Umezimika aah!
Twende Dar es salaam mwenge
Tukasalimu wazazi
Na tukitoka huko, tuka salimu washikaji aah!
Wait a minute, unataka nini?
Nitaenjoy kukupa mimba
Na kukupeleka clinic aah!

Paradise paradise
I wanna take you to paradise
Vile tuna shine tuna shine
All the way
Paradise paradise
I wanna take you to paradise
Vile tuna shine tuna shine
Ooh

Nataka more and more
More from you and you alone
Nakutaka wewe tu, wewe tu bby
Nataka more and more
More from you, and you alone
Nakutaka wewe tu
hey hey hey

Paradise paradise
Eeeh hey hey
Vile tuna shine tuna shine
Paradise paradise
Vile tuna shine tuna shine
I wanna take you girl



Credits
Writer(s): Gabriel Ndunguru
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link