Culture Rap Series (C.R.S) Episode I

Hahahaha
Uprise Music Baby
Oooh Oooh Oow
Cheaaa
Natapika niite Lupita natema Nyongo
Vita ya Simba Manula sitoki Bocco
Kama rula 12 months ni minyooko
Umetukuza ugali wali maharage ming'oko
Mama anafurahia mwanangu you made it
Mshua ananiambia don't stop son go get it
Natungua choppa za Chuki captain mayday mayday
Hili jiji limejaa wajuaji wachambaji majaji
Wazugaji watelezaji nao pia wadangaji
Keep your things private bro kuna udaku page
Kwanza muogope mungu serikali na technology
Nachanja kadi buying my kids cookies
Wanachanja mbuga chocho wanabuy chupiz
Done feed my kids and they play on a see saw
Nawaovertake wakiniunderrate wanabaki wooo
Hizi barz sio nyepesi heavyweight
Mi nawaza shika mkwanja we waza matiti
Wanenu they do surgery skin ziwe soft
Mlume natinga shamba napigwa jua la utosi

They can't predict my next moves
Cause Sometimes I act so lazy
Credibility kwenye hizi flows
Wakifunika nafunua hawaniwezii

Wahuni ila tunaobserve laws
Mi na shobo km Palestinian na Jews
If there is no options we ain't got non to chose
Mishe zinapigwa down town Songea mpaka Mbalizi
Sitafuti sifa Dimbwini sipigi mbizi
Mziki wangu ndo huwafanya washake shake Mbuzi
Hata km nkifumba macho naweza kutunga uzi
Mi ni fundi ila sio Michael hii fani mi ni mbobezi
Watoto wakiume siku hizi wanarambana dickies
Watoto wa kike kwenye closet they got 8 inches
Ntakutegua kigulu mfukon natembea na nyembe
Huwa sina kiburi muulize anko Mawenge
Wanenu wanakata mauno BCBG Wenge
Najiamini mi ni nduli huwa sitishiwi na wasenge
Mi ni Marley kama Damian
Wailers ni Bob yaan
On my game mi master plan
Barz zangu Hundred million
Zimejaa pomoni
MIC on nashusha Vina
Giving hope to the loners
Paying Debts rap loaners
Pressing suckers yeah we gunners
Wasiotupenda wanasanda
Kuona I do wonders
Flag inapepea Killer kona killer mtaa
Wanauliza who am I Na flag inapepea
Kila kona kila mtaa
Cheeeaa

They can't predict my next moves
Cause Sometimes I act so lazy
Credibility kwenye hizi flows
Wakifunika nafunua hawaniwezii



Credits
Writer(s): Rashid Ally
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link