No Love

Ungejisikiaje/
Ungeshika simu yangu, ukakuta nimekusevu wakala/
Ungejionaje, kama sio ungenilaumu na kuniona mi mbayaaa/
Basi tusidanganyane/
Kama tumechokana, bora tuambiananee/
Aaaaha
Japo nitaumiaa, ila siwezi tema mbaya /
We mwaya/
Mapenzi yananiumiza kichwa aaah/
Aaaah/
Shimo la penzi ukiingia kutoka aaah)/
Aaaah/
Inakua viguuuumu na auweeeezi/
Yani hauwezi/
Kutoka kwenye shimo la mapenzi/

Nikupe pole mwenzangu/
Ukiona umeseviwa vocha mapenzi yameshaisha/
Akuna mapenzi tena/
Yani usi ng'ang'anieeee yatakuuuwa/
Hakuna mapenzi hapo/
Meseji zako anaziona ila kujibu ndo hataki/
Hakuna mapenzi tena/
Mana anafanya kusudi, shukuru tu basi/
Hakuna mapenzi hapo/
Ukiyaendekeza, yatakumiza vibaya/

Sawa anaweza ata kujitetea/
Ila ndo ashakuonyesha tabia mbayaa/
Kujirudi anataka na kuendelea/
Na mapenzi uyo muongo anaongopeaa/
Usimpe nafasi/
Ukimpa tu kidogo imekula kwako/
Atakuchapa matukio/
Na mwisho utambulia kilio/
Usione tabasamu, ukahisi unapendwa, mwenzako analake/
Atajifanya ananidhamu, kuzuga anakupenda, ana mtu wake/

Sasa usije ukajitia doa/
Kumiza roo, jiongeze/
Utampenda mtu ambae apendeki/
Akufikiri wala akuwazi/
Haya yayaaah/

Mapenzi yananiumiza kichwa aaah/
Aaaah/
Shimo la penzi ukiingia kutoka aaah)/
Aaaah/
Inakua viguuuumu na auweeeezi/
Yani hauwezi/
Kutoka kwenye shimo la mapenzi/

Nikupe pole mwenzangu/
Ukiona umeseviwa vocha mapenzi yameshaisha/
Akuna mapenzi tena/
Yani usi ng'ang'anieeee yatakuuuwa/
Hakuna mapenzi hapo/
Meseji zako anaziona ila kujibu ndo hataki/
Hakuna mapenzi tena/
Mana anafanya kusudi, shukuru tu basi/
Hakuna mapenzi hapo/
Ukiyaendekeza, yatakumiza vibaya/
Hakunamapenzi/
Hakuna mapenzi apo/
Hakuna mapenzii/
Vamshimboraaa music/
Na produce boy takeshi/

Mnapenda tu mutende nyinyi, ila wasiwatende/
Tukiwatendea kesi/



Credits
Writer(s): Ramadhani Wamba
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link