Hatari

Ahahahaha, Whoo
Yeah, whoo whoo whoo
Lets go, yeaah
Aaah, hatari
Yeaah, aaah
One twenty kwenye kona
Usinifate bana hii ni noma
Usinifate hii ni hatari
Usinifate hii ni hatari
Aaah poppin ni poppin ni kila chapter
Toka enzi za kale utanitaka
Sipigi kabari napiga chata
Nakuja kama mdingi na unajuwa i'm a rasta
Flavour hizi tamu siitaji kiki
Huu mziki ni mtamu yaani kama chick
Hii beat ni kubwa ka premier league
Bendera inapepea nusu mlingoti niskize mimi
Hii ni hatari
Hii ni hatari ni hatari ni hatari
Hii ni hatari
Hii ni hatari ni hatari ni hatari
Hii ni hatari
Hii ni hatari ni hatari ni hatari
Hii ni hatari
Hii ni hatari ni hatari ni hatari



Credits
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link