Inshallah

Aaah Usiaichoka
Hii ngoma ni ya waleee(usiaichokaa)
Walee wasee wamejikazaa
Inshallah itajipa tu
Mnatyofficial
Risky it then
If you think basi Yes we can
Nimetry mara ngapi kuwakeep mafriends
Lakini hard times wote walicheat wagain
Iyo ufala siezi entertain
Niliona nishike book na iyo Risky pen
Train train gain bado niko tizi weekendi
No pain gain juu nikaa umekuja pretending

Usiaichoka
Inshallah kwa wale wote wanapiga mboka
Usiachoka
Inshallah kwa wale wote wanadai kuomoka
Uswaichoka
Inshallah kwa wale wote wanapiga mboka
Usiachoka ×2
Usiaichoka
Inshallah kwa wale wote wanapiga mboka
Usiachoka
Inshallah kwa wale wote wanadai kuomoka
Uswaichoka
Inshallah kwa wale wote wanapiga mboka
Usiachoka ×2

Ni nime ni nimefantoo
Nikiwa nikiwa madoo
Ndio maana napiga hustle freely
Kwa hii rap niko Royal kama Taurus Riley
Mirista kwa damu, flow kwa akili
Fresh water Lamu niko world ya pili
Hoe anakam ka uko gram ma milli
Alisahau purse ndio akapost kwa cover
No other gang na ututest ya pili
Tutakuja na hearse tukupeleke reserve
Tap tap alisip kwa makali madubb
Rwap rwap kwa mongo ni ka kumedi baadae
Zimeshika nataka tu nikiketi nifly
Nawatakia baraka wote tuhave

Usiaichoka
Inshallah kwa wale wote wanapiga mboka
Usiachoka
Inshallah kwa wale wote wanadai kuomoka
Uswaichoka
Inshallah kwa wale wote wanapiga mboka
Usiachoka×2
Usiaichoka
Inshallah kwa wale wote wanapiga mboka
Usiachoka
Inshallah kwa wale wote wanadai kuomoka
Uswaichoka
Inshallah kwa wale wote wanapiga mboka
Usiachoka ×3



Credits
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link