Jeraha

Moyo wangu
Moyo wangu unamaumivu
Hisia zangu
Umeamua kuondoka nakuzichezea
Ivi.! Naomba kuulizaa.?
Ivi kweli ulikuwaa unaingizaa
Mana naona Kama miujizaa
UNANITESA AAH MWENZIO OOH
Maneno yako yananila mfupa
Kwamba mimi siyo level zako
Huwa napitaga pita insta
Naona unawapost hadi picha zao
KOSA LANGU NIKUPENDA
NAKUSAHAU KUNA KUTENDWA
MWANAMKE GANI HUNA ATA HURUMA
AU MOYO WAKO NI WA CHUMA
JERAHA
Ooh yani nilikupenda sana
JERAHA
Maumivu ya mapenzi siwezi kuvumilia jama
JERAHA
Nilihisi nimepata dodo kumbe shubiri
JERAHA
Yani mawazo msoto siwezi fikiri
Labda ukimya wangu ndo umenipoza
Maumivu kuungulia kwa ndani
Kumbe ndo nauficha ugonjwaa
Natembea naongea njia zima hadi marafiki wananicheka
Umenichoma moyo mwiba
Utaniambia nini tena kupenda
Kina kirefu nateketea
Na we ndo ulikuwa wakunikomboa
Nilishindwa ata kulala
Kutwa nakesha nakuwaza
KOSA LANGU NIKUPENDA
NAKUSAHAU KUNA KUTENDWA
MWANAMKE GANI HUNA ATA HURUMA
AU MOYO WAKO NI WA CHUMA
JERAHA
Ooh yani nilikupenda sana
JERAHA
Maumivu ya mapenz siwezi kuvumiliaa jama
JERAHA
Nalihisi nimepata dodo kumbe shubiri
JERAHA
Yani mawazo msoto siwezi fikiri



Credits
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link