Pipii (feat. Whozu)

Eh Mungu wangu wamerudi tena
Badman
Yeza man
Jay once again
Warra S2kizzy baby

Uuh mama wewe
Aiye we.ayy.uuhh.iiih.ayy.uh
Ayy.uhh.Uuh.mama wewe.aiye we.ayy.uuhh
Mtoto anataka (pipi, pipi pipi,)
Pipi pipi pipi
Pipi pipi pipi
Pipi pipi pipi

Nitakupa tena usiseme kwa mama
Turudie tena jua likizama
Nitakupa tena usiseme kwa mama
Turudie tena

Sielewi sielewi (Sielewi sielewi)
Napenda sichelewi (Napenda sichelewi)
Mtoto anakalia kigogo kwa nyuma hapo
Sielewi sielewi (Sielewi sielewi)
Napenda sichelewi (Napenda sichelewi)
Mtoto anakalia kigogo kwa nyuma hapo

Oloh.mama wewe
Aiye we. ayy.uuhh.iiih. ayy. uh
Aya. uhh.Uuh. mama wewe.aiye we.ayy.uuhh
Mtoto anataka(pipi, pipi pipi,)
Pipi pipi pipi
Pipi pipi pipi
Pipi pipi pipi

Nitakupa tena usiseme kwa mama
Turudie tena jua likizama
Nitakupa tena usiseme kwa mama
Turudie tena

Tukimalizana usintaje
Vikao vya umbea usintaje
Vitu vya lawama usintaje je je jejeje
Tukimalizana usintaje
Vikao vya umbea usintaje
Vitu vya lawama usintaje je je jejeje

Oloh.mama wewe
Aiye we. ayy.uuhh.iiih. ayy. uh
Aya. uhh.Uuh. mama wewe.aiye we.ayy.uuhh
Mtoto anataka (pipi, pipi pipi,)
Pipi pipi pipi
Pipi pipi pipi
Pipi pipi pipi

Eh Mungu wangu wamerudi tena
Eh. eh eh
Eh eh eh
Eh eh eh eh



Credits
Writer(s): Sharif Sharif Said Juma
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link