Mi Na Wewe

Jamani mimi na baby wangu
Ni kweli huwanga sisi
Tunapendana sana
Mimi na baby kuna time na
Sisi tunagombana sana
Mwenzenu mimi na baby wangu
Hatuko perfect
Jamani mimi na baby wangu
Mambo waziwazi eeeh
Sometimes tunanuniana
Sometimes tunachekeana
Sometimes tunatishiana
Tunaachana na hatuachani
Sometimes tunanuniana
Sometimes tunachekeana
Sometimes tunatishiana
Tunaachana na hatuachani
Milele mi na wewe sitaki mwingine
Baby aye aye oooh baby aye aye
Tuzeeke mi na wewe sitaki mwingine
Baby aye aye oooh baby aye aye
Milele mi na wewe sitaki mwingine
Baby aye aye oooh baby aye aye
Tuzeeke mi na wewe sitaki mwingine
Baby aye aye oooh baby aye aye
We fight ya make up
I wanna see your face when we wake up
And i like it when you hold me
Forever baby you're my lover
Haya mapenzi yana yenyewe nisharusha
Mikono mara kadhaa
Ama mwenzio umeniroga wewe
Juu kukuwacha imekataa
Sometimes tunanuniana
Sometimes tunachekeana
Sometimes tunatishiana
Tunaachana na hatuachani
Milele mi na wewe sitaki mwingine
Baby aye aye oooh baby aye aye
Tuzeeke mi na wewe sitaki mwingine
Baby aye aye oooh baby aye aye
Milele mi na wewe sitaki mwingine
Baby aye aye oooh baby aye aye
Tuzeeke mi na wewe sitaki mwingine
Baby aye aye oooh baby aye aye



Credits
Writer(s): Ali Yusuf, Nadia Mwendo Mukami
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link