Nivutie

(Tk! Tk!)

(Caesar)

(Tk Lyon, 25en0s)

(Tupa tu bill kwa bar...)

(Sketchy Pon Dis)

Kila siku ya wiki nakula skuma wiki (skuma wiki)
Nikiwa blessed kula nyake sio tricky (sio tricky)
Nawapick up na lines nikaa mi ni McTricky
Sipendi attachments I don't like them sticky
Offlate, naishi ni kama sijali my fate (uh)
Tunabonga ukweli atupimani vifake
What you talking about?
Money ndo naita Bae
Life ni ka roundabout kuzunguka izi stage (hizi stage, hizi stage)

Nasaka Fom nivutie nitakwom (nitakwom)
Mbogi ni mwitu tukifika tumechrome (tumechrome)
Nasaka Fom nivutie nitakwom (nitakwom)
Mbogi ni mwitu tukifika tumechrome (tumechrome)
Nitakwom (nitakwom)
Naitachrome (naitachrome)
Mbogi ni mwitu tukifika tumechrome (tumechrome)
Nitakwom (nitakwom)
Naitachrome (naitachrome)
Mbogi ni mwitu tukifika tumechrome (huh, huh)

Psssssfffff! Marash nawakunywa na cologne wanadhani mi ni umati
Budeng niko alone
Niki Mssssssssffff! Kwa mat asthmatic apande Bolt
Ka ni ladha Kwa track Tk Lyon ongeza salt (ongeza salt)
Ndani ya Corolla we are coming thru (coming through)
Simu ni Motorola haina sim 2 (sim 2)
Msupa ashaholla, "Cheza na P2."
Kwani Jana kuliendaje sikumbuki kitu (huh!)
Tuko kwa jam na fahm ngoma zetu wanafaham
Niite mtalam nikiroga ngoma wanaShazam
Good vibes inshallah Sketch The Artist watagwan
Area 59, STAINE RECORDS to thee world
Kuzitoka, miondoko na mogoka
Tunabanjuka bambika ukibambuka toboka (toboka)
Kuzitoka, miondoko na mogoka
Tunabanjuka bambika ukibambuka toboka

Nasaka Fom nivutie nitakwom (nitakwom)
Mbogi ni mwitu tukifika tumechrome (tumechrome)
Nasaka Fom nivutie nitakwom (nitakwom)
Mbogi ni mwitu tukifika tumechrome (tumechrome)
Nitakwom (nitakwom)
Naitachrome (naitachrome)
Mbogi ni mwitu tukifika tumechrome (tumechrome)
Nitakwom (nitakwom)
Naitachrome (naitachrome)
Mbogi ni mwitu tukifika tumechrome (huh, huh)

Itakwom! Itachrome!
(Mbogi ni mwitu tukifika tumechrome)
Itakwom! (itakwom) Naitachrome! (naitachrome)
(Mbogi ni mwitu tukifika tumechrome)
Nitakwom! (nitakwom) Naitachrome! (naitachrome)
(Mbogi ni mwitu tukifika tumechrome) (tumechrome)
Itakwom! (itakwom) Naitachrome! (naitachrome)
(Mbogi ni mwitu tukifika tumechrome) (tumechrome)

Nasaka Fom nivutie nitakwom (nitakwom)
Mbogi ni mwitu tukifika tumechrome (tumechrome)
Nasaka Fom nivutie nitakwom (nitakwom)
Mbogi ni mwitu tukifika tumechrome (tumechrome)
Nitakwom (nitakwom)
Naitachrome (naitachrome)
Mbogi ni mwitu tukifika tumechrome (tumechrome)
Nitakwom (nitakwom)
Naitachrome (naitachrome)
Mbogi ni mwitu tukifika tumechrome (Tk Lyon, Tk Lyon)

(25enOs)

Credits
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link