Nimejipata (feat. Ginger boy Tz)

Oyaah oyaah wee oyaah ooh ayo gold ayo gingerboy
Biashara ya mapenzi siwezi siwezi nitaumia
Manasina sina uo mtaji wa mapenzi mie
Kwako nitatulia katabia ka kudangaaa
Sipeendi staki nikaskia inssue zako
Za ku spend weekend
Sina pesa za kulewea
Nimekukabidhi moyo mo oyoo usije nifanya
Kiporo ki pooro yani ukaniacha doro dooro watanizika mie mwenzio
Nipe hatari mama hatari ilo body hatari
Lenye utamu wa asali mmama hatari
Maini ugari ndizi za sukari najilia hatari
Aah
Nimejipata oya nimejipa
Nimejipata mie sa nimejipa
Nimejipata oya sa nimejipata
Nimejipata mie na nimejipata
Wakati nateseka kutafuta
Pumziko la moyo
Ukatokea lovii ukanishika
Ongeza tu choyo
Mi kwangu pambe penzi ndo limekuchaa
Akuna ata kolo wakunitega na
Kung'ata vikucha eeiieeeh
Unique mwana umenteka kinouma
Kwako mi fara ni zezeta
Kashepu kako na sweat nikikaona
Ati nasema nishajipata
Kama mwanza nitakuja mapema
Kabla na moyo ujavunjika
Nimekukabidhi moyo mo oyoo usije nifanya
Kiporo ki pooro yani ukaniacha doro dooro watanizika mie mwenzio
Nipe hatari mama hatari ilo body hatari
Lenye utamu wa asali mmama hatari
Maini ugari ndizi za sukari najilia hatari
Aah
Nimejipata oya nimejipa
Nimejipata mie sa nimejipa
Nimejipata oya sa nimejipata
Nimejipata mie na nimejipata
Ooh aya oiih aya nimejipata aah baby



Credits
Writer(s): Tozzy Clever
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link