Cheza

Haiyaa ye, check, check, check
G.K, Listen ye ye, aiayaa
Ngoma ni kali wewe!
Ona vile anakatika akisonga Songa (nomaa)
Drinks zinamwagika, amebambika haogopi kuchoma (kuchoma)
Niko hapa mi na waroga, G kwenye mic na nitosha
Leo ni sherehe ni doba, Weekend am never sober

Naomba tucheze doba, Mr DJ, DJ cheza Ngoma
Nifuraha hakuna Noma, Waliotudharau na watakoma
C we bad you ought to know us, 254 on the map you affi know dat
Na the vibes we give ni nomaa, tunarep tunarep Hadi uko Goma

Cheza, Cheza, Cheza ebu cheza Ngoma
Cheza, cheza, cheza, wewe cheza Ngoma
Cheza, cheza, cheza, DJ cheza Ngoma
Cheza, cheza, Weekend am never sober'

Ebu move to the floor mi nataka kukuona wewe ukikatika
Na madrinks na mandoo zinakam zinakam, watu ni kuagiza
Am I right? Am I wrong? Twende left ama right mi nataka kukatika
Put your hands in the air, Put your hands in the air
Good vibes & Insha'Allah

Cheza, Cheza, Cheza ebu cheza Ngoma
Cheza, cheza, cheza, wewe cheza Ngoma
Cheza, cheza, cheza, DJ cheza Ngoma
Cheza, cheza, Weekend am never sober

Naomba tucheze doba, Mr DJ, DJ cheza Ngoma
Nifuraha hakuna Noma, Waliotudharau na watakoma
C we bad you ought to know us, 254 on the map you affi know dat
Na the vibes we give ni nomaa, tunarep tunarep Hadi uko Goma

Cheza, Cheza, Chezaaa Hee!

Credits
Writer(s): Kelvin Gakuna
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link