Yaya (feat. Diamond Platnumz & Jux)

Wo loloo chuii
Wee zombie haujui
S2kizzy baby
Bad man
Simba la masimba dangote

Najua nina madeni na matatizo ya kodi
Ila pesa ya pombe na shisha sikosi
Najua nina vipengele watu wanapiga hodi
Ila kuhonga mademu wazuri sichoki

Eeeh kama umemchoka tuachie sisi(Nasemaje)
Tumle mpaka mifupa sisi ndio mafisi(wewee)
Kama umemchoka tuachie sisi(Athuman)
Tumle mpaka mifupa sisi ndio mafisi

Sawa nimeachika ila naburudika
Sipangiwi na mbwa yoyote pesa inatumika
Nimeachika naburudika
Sipangiwi na paka yoyote pombe zinamwagika(wewe)

I'm a disco dancer(Athumanii)
I'm a disco dancer
I'm a disco dancer
I'm a disco dancer

Yaya yaya yaya yaya
Yaya yaya yaya yaya
Yaya yaya yaya yaya
Yaya yaya yaya yaya

Wee zombie jaza tena zikiisha
Mwaga tano tano zidisha
Babe ikijipitisha(pitisha)
Usiku mboga namchumisha(chumisha)

Eeeh wanajiita wandim
Wakati babe zao tunazila chini chini
Eeeh mabisho bring bring
Kazi kulamba lips kitandani nawaging

Ladies simba want a thing got thing
Waambie sie mbwa kala paka
Ujifunze zungumza kwa mipaka
Demu wacha kufosi kashadata
Shobo zake mwenyewe kashanasa(weweee)

Kama umemchoka tuachie sisi(Nasemaje)
Tumle mpaka mifupa sisi ndio mafisi(wewee)
Kama umemchoka tuachie sisi(Athuman)
Tumle mpaka mifupa sisi ndio mafisi

Sawa nimeachika ila naburudika
Sipangiwi na mbwa yoyote pesa inatumika
Nimeachika naburudika
Sipangiwi na paka yoyote pombe zinamwagika(wewe)

I'm a disco dancer(Athumanii)
I'm a disco dancer
I'm a disco dancer
I'm a disco dancer

Yaya yaya yaya yaya
Yaya yaya yaya yaya
Yaya yaya yaya yaya
Yaya yaya yaya yaya

Badman
Wahuni ndani wananyonga wida
Ukitaka puff puff njoo barida
Ashura Amina njoo Farida
Waambie bwana zenu hatutaki shida

Kama umemchoka tuachie sisi(Nasemaje)
Tumle mpaka mifupa sisi ndio mafisi(wewee)
Kama umemchoka tuachie sisi(Athuman)
Tumle mpaka mifupa sisi ndio mafisi

Show me what you got
Chinkichi chinkichi chinkichi(unachezaje)
Chinkichi chinkichi chinkichi(show me what you got)
Chinkichi chinkichi chinkichi(unachezaje)

Sawa nimeachika ila naburudika
Sipangiwi na mbwa yoyote pesa inatumika
Nimeachika naburudika
Sipangiwi na paka yoyote pombe zinamwagika(wewe)

I'm a disco dancer(Athumanii)
I'm a disco dancer
I'm a disco dancer
I'm a disco dancer

Yaya yaya yaya yaya
Yaya yaya yaya yaya
Yaya yaya yaya yaya
Yaya yaya yaya yaya



Credits
Writer(s): Mwakyusa Raymond Shaban
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link