Maua

Mimi maua najua wanitambua
Umenipenda bila pressure kanichangua
Mimi siwezi nenda lote bana
Nimeachana na pombe sigara
Juu mimi maua
Mimi maua najua naua
Mimi maua, mimi maua
Maua na ni Kaaria
Mimi maua najua wanitambua
Urembo wangu wavutia kama Halua
Hujui wewe ndiye n
Umechagua
Kamanzi kenye kameiva

Juu mimi maua, mimi maua
Mimi maua najua naua
Mimi maua, mimi maua
Maua na ni Kaaria
Mimi maua, mimi maua
Mimi maua najua naua
Mimi mauaaaaaah

Probably they should tell you
I'm the star, I'm the ish
Probably they should tell you
I don't walk with the fakes
Probably if you know me
I'm the one to make you pop
Na kama we ni mbwakni
Basi kesho nakudrop
Don't be out here telling people
That you know me
Me ni rockstar leo
Kesho me ni Odi
Wapi ngori
Hujui me ni nani

Me and my compadre's
Mtajua sisi nani
Juu tuko ndani
Ooooouh
Me and my compadre's
Mtajua sisi nani
Ey! tuko ndani
Tuko ndani cause

Sisi maua, sisi maua
Sisi maua twajua twaua
Sisi maua, sisi maua
Maua na ni Kaaria
Sisi maua, sisi maua
Sisi maua twajua twaua
Sisi mauaaaaaaaah

I'm hoping that they tell you
Me ndio star, I'm a star
Huu mwaka mtajua
Me ndio star, I'm a star
Me ndio star, I'm a star
Me ndio star, I'm a star

Mimi maua najua wanitambua
Urembo wangu wavutia kama halua
Hujui mimi ndiye diva
Nami nimeivaaaaaaa
Aaaaaah

Sisi maua, sisi maua
Sisi maua twajua twaua
Mimi ni maua
Sisi maua, sisi maua
Mimi ni maua
Mauuuuuuuuuaaah
Sisi maua twajua twaua
Sisi maua
Mauuuuuuuaaaaa

Me ndio star, I'm a star
Huu mwaka mtajua
Me ndio star, I'm a star
Me ni star, I'm a star
Huu mwaka mtajua
Me ndio star, I'm a star
Me ndio star, I'm a star
Huu mwaka mtajua
Me ndio star, I'm a star
Me ndio star, I'm a star



Credits
Writer(s): Mukami Gitonga Kaaria
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link