Mtima

Sounds by Abbah
Eh mmh hh mmh hh

Nina imani na busara
Ah mi mwanadamu na
Kusema nimekamilika sio sawa
Maneno ni sumu
Ah bora unihukumu kama nikitenda kosa
Makosa

Usiponitaka atanitaka nani my boo?
Yeah mshikaji wangu wa maisha aa ni wewe

Yeah, mshikaji wangu wa maisha aa ni wewe
Ata nahisi kupagawa (sababu ni we)
Kila tunaporumbana amani sina amani sina aa
Unajua sipo sawa baby
Ata nahisi kupagawa
Kama

Kama ni hivyo kishawaka
Kwenye mapenzi hivyo ni vitu vya kawaida

Na kwenye mtima
Pressure sina
Kama kukupenda wewe mi nakupenda
Why tuzozane?
Mi kwenye mtima
Pressure sina
Kama kukupenda wewe mi nakupenda
Why tuzozane?
Mmh mmh hh
Eh, na kama mwadamu kweli sijakamilika hilo naelewa
Kinachonichanganya navuruga nashindwa kuelewa
Ah, maneno mengi na vitendo nakosea nashindwa kujielewa
Kinachonichanganya navuruga nashindwa kuelewa

Na kuna muda mi naenda kushoto sitaki
Wakati unaenda kulia
Na kukupenda nakupenda kama nimerogwa wameniwezea

Unajua sipo sawa (sababu ni we)
Ata nahisi kupagawa (sababu ni we)
Kila tunaporumbana amani sina amani sina aa
Unajua sipo sawa baby
Ata nahisi kupagawa
Kama ni hivyo kishawaka
Kwenye mapenzi hivyo ni vitu vya kawaida

Na kwenye mtima
Pressure sina
Kama kukupenda wewe mi nakupenda
Why tuzozane?
Mi kwenye mtima
Pressure sina
Kama kukupenda wewe mi nakupenda
Why tuzozane?

Mi kwenye mtima, pressure sina
Kama kukupenda wewe mi nakupenda
Why tuzozane?

Abbah!



Credits
Writer(s): Suleyman Salim Gao
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link