Tatizo Nini - Acoustic
Shiii BEBERUU
We jamani sijui niniiii iii
We umepatwa na nini wewee
We jamani sijui ninii Iii
We umepatwa na nini wewe
Sijui niniii mwenzako nakosaga gani wewe
Na sio kama siyajui mwenzako nayajua
Lakini nimeamua kufumba machoo
Sio kama siyaoni mwenzako nayaona
Lakini nimeamua kufumba macho
Aya baba hukuona sehemu nyingine
Mpaka kwa demu wangu hata aibu huna
Aya baby hukuona sehemu nyingine
Mpaka kwa ndugu yangu kisa vichenchi sina
We tena unamsifia demu waanguu
Ooh Baby ukapagawa na vigari garii
We tena unamsifia demu wangu
Anamzigo nia yako hata aibu huna
We baby ukapagawa na vigari vinoti
Ndo ivo kisa vichenchi sina muunii
We penzi langu na share
Jamani na share
Tewa dada boss penzi langu na share
Ooh leo na share
Kisa sina ela penzi langu na share
We leo na share aaaaaaaah aah we leo na share
Mke wangu anaaga anaenda sokoni
Mi nampa ela ya Tembele ye anarudi na mchele
Oooh
Anaaga anaenda sokoni
Mi nampa ela ya dagaa ye anarudi na kambale
Mke wangu mi nampa ela ya bamia
Mi nampa ela bamia ye anarudi na njegere
Oooh akitoka morning akitoka morning
Iyo kurudi mishalee eeeeh
Aaaah we penzi langu na share
We mama na share
Jamani penzi langu na share
We leo mwanangu Don mendezi you
Penzi langu na share
We Ras we mama na share
Mwanangu cha jero aaah Aya yayaya yayaya
Chazi boy leo na share choni wiii wiwiwi na share
Kaiza Larden leo na share wanangu wa kari wa road
Leo na share
Oya penzi langu na share
Jamani na share Aaaa aaaaah
Kapaso Apa genius from Tanzania aaah
SHiii beberuu
Aah nakubali wanangu wa Bkp Brand Brand
Aaah Round Iii nipo na adasco
We jamani sijui niniiii iii
We umepatwa na nini wewee
We jamani sijui ninii Iii
We umepatwa na nini wewe
Sijui niniii mwenzako nakosaga gani wewe
Na sio kama siyajui mwenzako nayajua
Lakini nimeamua kufumba machoo
Sio kama siyaoni mwenzako nayaona
Lakini nimeamua kufumba macho
Aya baba hukuona sehemu nyingine
Mpaka kwa demu wangu hata aibu huna
Aya baby hukuona sehemu nyingine
Mpaka kwa ndugu yangu kisa vichenchi sina
We tena unamsifia demu waanguu
Ooh Baby ukapagawa na vigari garii
We tena unamsifia demu wangu
Anamzigo nia yako hata aibu huna
We baby ukapagawa na vigari vinoti
Ndo ivo kisa vichenchi sina muunii
We penzi langu na share
Jamani na share
Tewa dada boss penzi langu na share
Ooh leo na share
Kisa sina ela penzi langu na share
We leo na share aaaaaaaah aah we leo na share
Mke wangu anaaga anaenda sokoni
Mi nampa ela ya Tembele ye anarudi na mchele
Oooh
Anaaga anaenda sokoni
Mi nampa ela ya dagaa ye anarudi na kambale
Mke wangu mi nampa ela ya bamia
Mi nampa ela bamia ye anarudi na njegere
Oooh akitoka morning akitoka morning
Iyo kurudi mishalee eeeeh
Aaaah we penzi langu na share
We mama na share
Jamani penzi langu na share
We leo mwanangu Don mendezi you
Penzi langu na share
We Ras we mama na share
Mwanangu cha jero aaah Aya yayaya yayaya
Chazi boy leo na share choni wiii wiwiwi na share
Kaiza Larden leo na share wanangu wa kari wa road
Leo na share
Oya penzi langu na share
Jamani na share Aaaa aaaaah
Kapaso Apa genius from Tanzania aaah
SHiii beberuu
Aah nakubali wanangu wa Bkp Brand Brand
Aaah Round Iii nipo na adasco
Credits
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
© 2025 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.