Sugua

Amini kwamba kapaso apa
Genius kutoka Tanzania eeh
Cheche Chee

Nimelewa mwili sijalewa, akiri
Mambo ya kuibiana sio swali

Dondoa haraka, kreti mbili
Yani mpaka asubuhi
Umepata wapi? Usiulize, we lipa biri

Kumbuka na mtoto kama wewe zarau
Sitaki ntakupa kipigo ukaadisie
Mbona jeuri? Wewe ugomvi sitaki
Ntakupa kipondo ukasimulie

Bac, nguto, sugua tinga tinga, cheza tinga tinga
Sugua tinga tinga, we ng'ata kidole ringa

Bac, sugua tinga tinga, cheza tinga tinga
Sugua tinga tinga, we ng'ata kidole ringa

We rayder, sugua tinga tinga, cheza tinga tinga
Sugua tinga tinga, we ng'ata kidole ringa

Sugua tinga tinga, cheza tinga tinga
Sugua tinga tinga, we ng'ata kidole ringa

Uyu dada ana mzuka wa kusaura mpishe acheze Chula
Chula anapenda maji, lakini sio ya moto

Kapewa kidogo, kanogewa, kumbe big chawa
Chula anapenda maji, lakini sio ya moto

Kama uchafu ukigandia kwenye shati, sawa
Nakupangusa, nakutoa kiboko ya madowa

Uchafu ukigandia kwenye shati, sawa
Nakupangusa, nakutoa kiboko ya madowa

Bac, nguto, sugua tinga tinga, cheza tinga tinga
Sugua tinga tinga, we ng'ata kidole ringa

Bac, sugua tinga tinga, cheza tinga tinga
Sugua tinga tinga, we ng'ata kidole ringa

We rayder, sugua tinga tinga, cheza tinga tinga
Sugua tinga tinga, we ng'ata kidole ringa

Sugua tinga tinga, cheza tinga tinga
Sugua tinga tinga, we ng'ata kidole ringa

Oooooooooh chiiiiii
Bac, cheza kama mende, kichwa chini, miguu juu mama
Dunda dunda, si unacheza kungfu
Wanang'aa kama mende, kichwa chini, miguu juu mama
Dunda dunda, si unacheza kungfu
Tucheze za Kichina China, za Kichina China
Huhaaa
We, za Kichina China, za Kichina China
Huta ishuuuuu
We, za Kichina China, za Kichina China
Huhaaa
Turuke za Kichina China, za Kichina China
Huta ishuuuuu
Maswali mengi, uyu dada amekunywa nini?
Mbona ivi?
Wanangu, huu dada amekunywa nini?
Mbona vile?
Anamzuka wa dable kick dable kick, dable kick, dable kick
Anamzuka wa key vant, key vant, key vant, key vant
Kama uchafu ukigandia kwenye shati, sawa
Nakupangusa nakutoa kiboko ya madowa
Uchafu ukigandia kwenye shati, sawa
Nakupangusa, nakutoa kiboko ya madowa

Hiii kwa wanangu wa zamani na wa siku zote
Nikiwa na producer nguto, Aaaah nguto on the track
Aah, nakubali wazee wa Smart Africa
Ee aah Deco de Souza eeeh
Anakusalimia mwanangu Ada boy kinyani
Aah, Msodoki the Sun, abal ya town ee aah
Nakubali mwanangu Shahali the boss
We Mauzo Chata, anakusalimia mwanangu Esco Pablo
Wazee wa Bazic Mathematics aaah Mr. BKP
Sura ya baba, miaka ya babu, mbuzi hang'ati

Credits
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link