Balaa

Yeah, wali sema, siwezi mba nyumbo za kiswaili
Ndomana ni meingia dana ya kiswaili
Ndomana nataka kuridi roots zangu
Huko ndo nyumbani kwe tu bana

Ni wachane sana, ni wambie ukweli

Shida unpata sote, kifu tuogopa sote
Makosa fanya wote, binangaa kama taa
Watu wa ni shangaa, kweli ni balaa
Wananita shujaa, Wananita shujaa

Shida unpata sote, kifu tuogopa sote
Makosa fanya wote, binangaa kama taa
Watu wani shangaa, kweli ni balaa
Kweli mi balaa, wananita shujaa

Nilipitia mengi, domana vuta bangi
Siseminaweshenzi, ushamba misitaki
Okizani sina akili, aininyimi usingizi
Minitembo nyingi sisi mizi, kweli, kweli
Kelele chura huzuii kunwa maji

Domana minahaso kati mziki
Napigana kupata riziki
Dunia tuna pita, ujafo ja umpika
Kumbuka siku, hatu kuwa
Nagodoro, saso nalalia
Mbili za kudunda

Mademu walinikataa, sasa wanajileta
Kama inzi kwenye mavi

Zimu ya kifahari, nyumba ya kifahari
Nguo zangu ni dizaina, mukaba wangu Gucci
Zahabu kwenye shingo, almasi kwenye meno

Minangaa kama jua, nguvi yasimba sio kondoo Ao mbuzi
Minimoto maji ilioshindwa toa
Niko single, bado si jahoa
Wambea sana

Walinisema nilipoenda jela
Walisherekea
Desire mimwanaume
Nasimama
Miguu mbili chini, sitoki

Shida unpata sote, kifu tuogopa sote
Makosa fanya wote, binangaa kama taa
Watu wa ni shangaa, kweli ni balaa
Wananita shujaa, Wananita shujaa

Shida unpata sote, kifu tuogopa sote
Makosa fanya wote, binangaa kama taa
Watu wani shangaa, kweli ni balaa
Kweli mi balaa, wananita shujaa

Moyo wangu
Una mambo mengi sana
Una weka sitaki wambia watu

Kwa sababu watu ni washenzi
Hata akiwa ndugu yako
Ukimwambia maneno yako
Kesho atitoa

Wala atai use
Kwa kukumiza
Wenajua viye dunda inavyo kwenda
Jinalangu ya Young Desire

Mina spit alata fire
I hope you really listen to me
Just listen to my soul
Kwa everything I'm trying to tell you

Real I really live it



Credits
Writer(s): Dezire Baganda
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link