Asanteni Kwa Kuja
Master
I'm in the building
Asanteni kwa kuja, thanks for coming
Coming coming coming coming
Asanteni kwa kuja, thanks for coming
Coming coming coming coming
He he, he he, he he, he he
Shombo nyingi zaidi ya soko la samaki
Ferry inangoja hata beberu hunipati
Buheri wa afya, hofu juu yako
Merci beaucoup, njoo uongee na cousin wako
Naenda kazini wakati wanaenda kitandani
Sio salama, sio salmini na silali ka vitani
Hakuna imani kwamba snitch mwana
Njoo na panga ukute shoka ka zamani zama
Bastola na glass ya Vodka, lazima kuwe na sadaka
Madeni lazima yalipwe hata mdaiwa asipotaka
Another day, another dollar, ah mi Mchagga mwingine
Siku nyingine hela nyingine, sio kicheche mwengine
Asanteni kwa kuja, thanks for coming
Coming coming coming coming
Asanteni kwa kuja, thanks for coming
Coming coming coming coming
He he, he he, he he, he he
Here comes the beat, here comes the beast
Mother, I'm still the best
Ukiniona kimya imani na mshindo unatrot
Vita kwa vina money na auto in the bank
Kama ipo itafika tu, spika za nini kachaa
Mungu akitaka kukupa wala hakuandikii barua
We get money on the right things, and keep calm
Wenye kelele wote sio kings, kuwa na nidhamu
Tatizo la uongo ni kwamba milele haufiki mwisho
Ka kiporo utatudanganya na kesho
Malalamiko kibao ka mtoto wa kambo
Kuruka ruka haijawahi kuwa dawa ya ulimbo
Asanteni kwa kuja, thanks for coming
Coming coming coming coming
Asanteni kwa kuja, thanks for coming
Coming coming coming coming
He he, he he, he he, he he
Ilikua poa tu, ilikua love tu
Ilikua safi kabla mkwanja haujaleta makuu
Ilikua shega tu, ilikua peace tu
Ilikua mzuka ghafla mkwanja ukaleta upuuzi
Love iko mbali, chuki mwanzo mwisho bro
Hata mi ni hater ka hunipendi hivyo hivyo bro
Ulete ubwege na nikupende, mi ni Yesu?
Hakuna shavu la pili, toa wembe nitoe kisu
Bado mshabiki mkubwa wa kazi ya Mungu
Ila kama nakuweza sikungoji nakupa kubwa wangu
Life yangu movie, na mi ndo director
Hata ukinielekeza sio kitu inakua extra

Credits
Writer(s): Hamis Mohamed Mwinjuma
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
© 2024 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.