Affair Za Moyo

Hey baby auh! It's me
I was just calling to chat with you a little bit while you were on your break
But I guess I just missed you or something
Auhm! anyway i hope that you're having a good day so far

Hey yeah
Hey yeah
Heeeee

Hey dada
Nipo on the other side
Yaliyo kwa moyo mengi balaa
Yote uhaba wako we
Imeshakuwa soo
Shida unanikacha
Si kwa mahaba haya
Ni affair za moyo
Mpendwa dada
I'm pourin' my heart out
I'm letting you know

Yani kama ningekua na uwezo wa kukuonyesha ya moyoni
Kama ungeyaona hayo wee
Vile moyo umependa

I'm hoppin' lady what you'll see
Will turn you heading where i am
And maybe tell me what you need
I'll give you my life

Uuuh!
My lady nikiwa na wewe
Na penzi linasonga mbele
Na haters wapiga kelele
Na sie hatusiki

Mimi niwe wako
Baby sema you loving me girl
Hata mara moja hey yeah hii

Huuh wewe unanifa
You ndo yangu furaha
Hey yeah
Ukiona couples flani mtaani kwani hutamani
Kwamba they could be us nasi tutakua rahani

Yani kama ningekua na uwezo wa kukuonyesha ya moyoni
Kama ungeyaona hayo wee
Vile moyo umependa

I'm hoppin' lady what you'll see
Will turn you heading where i am
And maybe tell me what you need
I'll give you my life

Uuuh
My lady nikiwa na wewe
Na penzi linasonga mbele
Na haters wapiga kelele
Na sie hatusiki

Mimi niwe wako
Baby sema you loving me girl
Hata mara moja hey yeah
Hiii hiii yeaaaah

Mimi niwe wako
Baby sema you loving me girl
Hata mara moja hey yeah
Hee hee heee

Mimi niwe wako
Baby sema you loving me girl
Hata mara moja hey yeah hii



Credits
Writer(s): Taariq Madoweka
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link