Hubby

Mmmmhh yea you know, hubby
Hubby hubby
Aki walai let's go

Like step pause step, pa pause
When you turn around and take it to the top
Like step pause step, pa pause
When you turn around and take it to the top like mmh

TESLAH
Karibu uchovu mim nitakutibu
Nikukande mgongo nikulishe madondo
Apettiser ni ya nyama na muhogo
Uku jirani ni umbeya tu
Ju, wakona wivu ukinipea boo
Umenijaza kifuniko ndio maana
Nitakuvuta kama kikoo

So baby tell me, vile siku yako imekuwa mi nataka kujua
Daily, unangangana tu kifua kuniletea maua
Kweli, ata kwenye joto na mvua we ndio wangu for sure
Penzi furaha yangu kukuona everyday

Cause your my hubby hubby
Unanipa kila kitu you make me feel so happy happy
Ntakuzalia Watoto na watakuita daddy daddy
Tabasamu kwenye ndoto you know you sweet like honey honey

NDOVU KUU
It's like you nakutaka is true
Iyo mwili ni kamili haina wengi just few
It's just you maajabu kitrue
Mahesabu za gizani 67 plus 2
Vile tulipatana ilikuwa ni story ya jah
Vile tulikatana ilikuwa ni story ya njaa
Tulipeleka sana ukanjazia ikajaa
Umemchanganisha kjana nimeshikwa at ana kichaa

NDOVU KUU
Khai khai khai, injili injili injili
Vile mi nakufuta daily na daily na daily
Una makali pilipili ya chilli, ya chilli
Mi narudianga mara ya pili, ya pili
Nastill trilly aiii
Uncle Njogu huu ni ndovu na si simba
Msituni tambia mbovu za kuchimba
Tarumbeta hufanya warembo wanaimba
Na wakiteta bado tembo anavimba

So baby tell me vile siku yako imekuwa mi nataka kujua
Daily, unangana tu kifua kuniletea maua
Kweli, ata kwenye joto na mvua we ndio wangu for sure
Penzi, furaha yangu kukuona everyday

Cause your my hubby, hubby
Unanipa kila kitu you make me feel so happy, happy
Ntakuzalia Watoto na watakuita daddy, daddy
Tabasamu kwenye ndoto you know you sweet like honey, honey
Oooo



Credits
Writer(s): Nancy Njeri
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link