Kibabe (feat. Joozey)

Zombie sikutaji humu eeh
Kibabe kibabe
Kibabe basi force kibabe
Kibabe kibabe
Kibabe basi force kibabe
Kibabe kibabe
Kibabe kibabe basi force kibabe
Kibabe kibabe
Kibabe basi force kibabe
Ishuuu
Chino wanaman Chino wanaman Chino wanaman
Hello yeweiih
Ishuu
Ngosha wanaman
Hello
Juzi nilikuona town
Umependeza umetupia vitu vya brow
Sijui ni loui Ile au Gucci
Aise ile buti na grown imefanya mkushi nivae suti
Usinishushe nikiwa around
Na nikikupa sound usinitusi
Kwako mie I'm lost and found sio uzushi usinipushi
Niongee maujuzi maufundi
Nikugande unione nuksi, unione mpuuzi niwe down
Na ninakustalk hadi tiktok
Unaweza trendisha ngoma ikawa hit song
Unanivutia kama ringtone
Kwa uzuri unawapiga bao kama ping pong
Na kwa uzuri upo peke yako
Unanifanya nizidishe ku hustle
Silali ninalala macho
Ninakuita Mali kubali hakuna zaidi yako
Mariarosa, usije nitosa
We nibariki nikupeleke kwa mwamposa
Mariarosa usije nitosa
We nibariki nikupeleke kwa mwamposa
Ishuu
Achia shishaa
Aichukuchaa
Si mmemuona? mmemuona
Kama kashushwa
Achia shishaa
Aichukuchaa
Si mmemuona? mmemuona
Eti kasusa
Kibabe kibabe
Kibabe basi force kibabe
Kibabe kibabe
Kibabe basi force kibabe
Kibabe kibabe
Kibabe basi force kibabe
Kibabe kibabe
Kibabe basi force kibabe
Ishuu
Na ninakustalk hadi tiktok
Unaweza trendisha ngoma ikawa hit song
Unanivutia kama ringtone
Kwa uzuri unawapiga bao kama ping pong
Na kwa uzuri upo peke yako
Unanifanya nizidishe ku hustle
Silali ninalala macho
Nakuita mali kubali hakuna zaidi yako
Ngosha wanaman
Mariarosa usije nitosa
We nibariki nikupeleke kwa mwamposa
Mariarosa usije nitosa
We nibariki nikupeleke kwa mwamposa
Ishuuu
Achia shishaa
Aichukuchaa
Si mmemuona? Mmemuona
Kama kashushwa
Achia shishaa
Aichukuchaa
Si mmemuona? Mmemuona
Eti kasusaa
Kibabe kibabe
Kibabe basi force kibabe
Kibabe kibabe
Kibabe basi force kibabe
Kibabe kibabe
Kibabe basi force kibabe
Kibabe kibabe
Kibabe basi force kibabe
Ishuuuu



Credits
Writer(s): Walter Chilambo
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link