Mungu Ni Pendo

Mapenzi yake BABA aah
Mapenzi yake MUNGU uuh
Mapenzi yake BABA aah
Mapenzi yake MUNGU uuh
Hayafanani na yawanadamu
Hayalingani nayo kamwe
Hayafanani na yawanadamu
Hayalingani nayo Ooh
Mama aweza sahau mtoto
Wa tumbo lake yeye mwenyewe
Lakini sio kama MUNGU
Yeye ni MUNGU wa upendo ooh
Yeye BWANA alimtoa mwana wake
Kwaajili Yetu
Eee BWANA eee
MUNGU ni pendo apenda watu
MUNGU ni pendo apenda watu
Aaah ananipenda Eee ananipenda
MUNGU ni pendo apenda watu
MUNGU ni pendo apenda watu
Aaah ananipenda Eee ananipenda
YESU akaja akabeba dhambi zangu
Akafa akafufuka kwaajili yangu eeh
Yeye akanipa haki yake
Nimefanyika mwana wa MUNGU
Kwakupigwa kwake eeh
Sisi sote tumepona aah
Hakuna sababu ya kuhuzunika moyo oo
Yeye kabeba umasikini wangu
Kanipa utajiri wake ee
Nimeinuliwa sababu ya upendo wake eeh
Aaah
MUNGU ni pendo apenda watu
MUNGU ni pendo apenda watu
Aaah ananipenda Eee ananipenda
MUNGU ni pendo apenda watu
MUNGU ni pendo apenda watu
Aaah ananipenda Eee ananipenda
MUNGU ni pendo apenda watu
MUNGU ni pendo apenda watu
Aaah ananipenda Eee ananipenda
MUNGU ni pendo apenda watu
MUNGU ni pendo apenda watu
Aaah ananipenda Eee ananipenda
Yeye ni pendo eee e
Ananipenda aa
Ee anakupenda ee
Aaah
MUNGU ni pendo oo
MUNGU ni pendo eee
Anakupenda eee
Uje kwake leo ufurahie upendo wake
Wa ajabu aaa aa
Yeye anakuita anakuita aa
MUNGU ni pendo apenda watu
MUNGU ni pendo apenda watu
Aaah ananipenda Eee ananipenda



Credits
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link