Overdose

Upendo ni burudani kwangu imekuwa karaha
Nacheka nje ila ndani moyoni mna majeraha (majeraha)
Mmh-mmh, siku hizi hata hanidekezi
Kawa mbabe mashine yamepungua mapenzi
Sijui kampata mwingine

Overdose, overdo- na ashanioverdose (overdose)
Overdose, overdo- na amenioverdose (overdose)

Oh-oh-oh, oh-oh-oh
Oh-oh-oh
Oh-oh-oh, oh-oh-oh
Oh-oh-oh

Kitu kidogo lazima tulumbane
Simu vinamba tublockiane
Najitahidi jishusha tusikwazane
Kosa si kosa ataka tuachane, mmh-mmh
Ndio maana unaniona
Kutwa mnyonge nasonona
Ila najitahidi mbona
Upendo mnara hautaki soma

Mmh-mmh, oh-oh-oh-oh
Siku hizi hata haniogeshi
Najiogesha mwenyewe
Vya utani hata hacheki
Najichekesha mwenyewe

Overdose, overdo- na ashanioverdose (overdose)
Overdose, overdo- na amenioverdose (overdose)

Oh-oh-oh, oh-oh-oh
Oh-oh-oh
Oh-oh-oh, oh-oh-oh
Oh-oh-oh



Credits
Writer(s): Siraju Amani, Salmin Maengo
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link