Bado

Mwadembe Mbaluku Construction
Jitu la Mbeya Jitu limenyooka
Eh... ehe ehe Jakobo kipusa

Kachili kata mwenzako na majini makata
Wakikuzingua mbona chamoto wao watakipata
Nimekupenda mwenyewe mwenyewe mwenyewe
Na umenipenda mwenyewe mwenyewe mwenyewe

Vimbele mbele na viherehere vya nini
Wanakesha kila siku kutugombanisha kwanini
Vimbele mbele na viherehere vya nini
Wanakesha kila siku kutugombanisha kwanini

Nimeweka nuktaah kigoma mwisho wa reli
Kwako sisikii siambiwi wala sioni
Uumeniimalizaa ah Yangu mapepe umenituliza

Watasubiri sana bado bado bado
Oh bado bado bado
Watasubiri sana bado bado bado
Sisi kuachana bado bado bado baadoo

Umenikaa moyoni kwengine sioni
Kwa mapishi ya jikoni nateketea
Tena niko mbioni kukuoa uwe ndani
Nikitaka kila time niwe najisevia

Penzi lako full chajiiih Muda wote miee
lanipandisha midadiih
Pengine nifuate nini kwako nimetulizana
Ufundi wa zinadine chumbani mi wanichanganya

Nimeweka nuktaah kigoma mwisho wa reli
Kwako sisikii siambiwi wala sioni
Uumeniimalizaa ah Yangu mapepe umenituliza

Watasubiri sana bado bado bado
Oh bado bado bado
Watasubiri sana bado bado bado
Sisi kuachana bado bado bado baadoo

Wahala de baby wahala de
Wahala de baby wahala de
Wahala de baby wahala de
Wahala de baby wahala de



Credits
Writer(s): Bakari Katuti
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link