Juu Chini

Kuzza goin
Crazy
Gettin money
Pay me
Yea

Ntafanya juu chini
Life langu lazima linyoke (yeaah)
Kwenye life full o' sin
Mungu n'saidie ili niokoke
Niko tayari
Nishajikoki
Sitoshangaa
Wakipaste na kucopy
Sina habari
Natafuta noti
Kwenye chanel ya pesa
Siitaji remoti

Sina utani sina undugu na mpoki
Sipaki m'congo lakini sichoki
Nazidi kamua mpaka engine inoki
Nshafunga akili nshatia na locki
Em shika camera ni zamu yangu ishike vizuri ili unirecordi
Kijana na stamina mdogo mdogo nawapa madini kichwani na mgodi
Kama humainidi acha nkulize swali
Una fanya nini for da nini for da money?
Ata nikifa nikaziacha mali
Atleast my son atakua yuko shwari
Elfu tano elfu kumi hamsini kilo yap
Mpaka zifike milioni
Pesa haidanyi ukiwa nazo No Cap
Lazima zionekane
Navaa my drip atakama sio sunday
Bonge la view napaona kila upande
Nilikua najua itakua hivi one day
Ukiwa na pesa lazima akugande

Naishi maisha yangu ya pili
Sijui nianze wapi kukuelezea hii feelin
Nabidi nitulize akili
N'sije nkaishia kutumia hizi zote shilling
Maana hio itakua ni scandal
Nilikua broke sikuona upendo
Hawakua nami kule trap kule ghetto
Pesa inaondoa uchafu wote kama dettol
Haikua easy
Nimeforce nimepush kichizi
Nimeshinda vipingamizi
S'kizia ntakucheki Im busy
Yea!

Ntafanya juu chini
Life langu lazima linyoke (yeaah)
Kwenye life full o' sin
Mungu n'saidie ili niokoke
Niko tayari
Nishajikoki
Sitoshangaa
Wakipaste na kucopy
Sina habari
Natafuta noti
Kwenye chanel ya pesa
Siitaji remoti

Natimiza malengo niko kwenye mission
Naitaj ule mjengo yenye bonge la kitchen
Sibadili mwenendo usinlazimishe
Nshausoma mchezo hunikamitishi
Kama silipwi usiniusishe
Ilibidi nihustle umaskini unatisha
Drip drip drip cheki nimemachisha
Pesa ka' Omo inatakatisha
Begi ninalo sijaliangusha
Nawaza tu namna ya kulizungusha
Sina ata wenge akili iko stable
Niko mwenyewe hakuna cha label
Sawa ndio saivi me niko single lakini naingiza faida double
Sawa naeza fanya kitu illegal lakini niko ready kua in trouble
Natembea na plan s'kurupuki ovyo
Nishajisoma s'jai soma novel
Nilikua broke bado na makovu
Mungu niepushe na yote maovu

Naishi maisha yangu ya pili
Sijui nianze wapi kukuelezea hii feelin
Nabidi nitulize akili
N'sije nkaishia kutumia hizi zote shilling
Maana hio itakua ni scandal
Nilikua broke sikuona upendo
Hawakua nami kule trap kule ghetto
Pesa inaondoa uchafu wote kama dettol

Ntafanya juu chini
Life langu lazima linyoke
Kwenye life full o' sin
Mungu n'saidie ili niokoke
Niko tayari
Nishajikoki
Sitoshangaa
Wakipaste na kucopy
Sina habari
Natafuta noti
Kwenye chanel ya pesa
Siitaji remoti



Credits
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link